Jukwaa la Historia

On JF:

BI. TITI MOHAMED (1926 - 2000)HANA MFANOWE Historia ya Bi. Titi haijaandikwa. Naamini ni watu wachache sana wanajua kuwa Bi. Titi Mohamed amepanda jukwaani kuhutubia mkutano wa TANU Viwanja Vya...
1 Reactions
5 Replies
977 Views
Ndugu yangu Kheri katufanyia hisani kubwa sana. Kaniletea picha hizi za Kariakoo Market na aliyepiga picha hizi kaweka na tarehe mwaka wa 1955. Huu ndiyo mwaka TANU ilimsafirisha Mwalimu Nyerere...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Pichani ni kabila la Mumuila kutoka nchini Angola Kabila hili lina urembo wa aina yake na wa kipekee haswa. Wanawake katika kabila hili husiliba nywele zao na aina fulani ya msago wa rangi...
4 Reactions
16 Replies
3K Views
Kule utakuta trans antlantic slave trade lakini hii ya watumwa kupekwa uarabuni huwa haifundishwi. Why?
5 Reactions
119 Replies
9K Views
MOHAMED SAID: HAMZA KASSONGO ON SUNDAY NYERERE DAY 2 Namzungumza Mama Maria Nyerere na juhudi zake za kusaidia familia yake kujikimu baada ya Mwalimu Nyerere kuacha kazi na kuwa mtumishi wa TANU.
0 Reactions
1 Replies
992 Views
NYERERE DAY: TUWAKUMBUKE MASHUJAA HAWA WAWILI KWA PAMOJA ABDULWAHID KLEIST SYKES NA JULIUS KAMBARAGE NYERERE Leo tarehe 13 Oktoba ndiyo siku aliyozikwa Abdul Sykes siku ya Jumapili mwaka wa 1968...
6 Reactions
11 Replies
2K Views
Hawa ni watu ambao walikuwa wakipatikana katika msitu wa Kongo, walikuwa na utamaduni wa kuchonga vichwa na kuwa virefu kama status ya familia inayojulikana kama ‘Lipombo’, lakini baadaye iligeuka...
0 Reactions
19 Replies
5K Views
NILIVYOKUTANA NA MZEE SUED KAGASHEKI KATIKA MAZUNGUMZO NA DOSSA AZIZ 1980s Mmoja katika marafiki zangu ameniletea picha kadhaa za wakati wa kupigania uhuru wa Tanganyika Kanda ya Ziwa, Bukoba...
11 Reactions
88 Replies
10K Views
[emoji117]Mwaka 1958 alichapisha kitabu kilichopata umaarufu mkubwa duniani kote kikitafsiriwa kwa lugha zaidi ya hamsini. Kitabu hiko kiliuza takribani nakala milioni 15 huku kikitumika...
6 Reactions
12 Replies
3K Views
Hawa ndiyo watu asili wa Madagascar kabla ya ujio wa Wakoloni. Wareno na Goa walioana na wenyeji kabla ya utawala wa Kifaransa.
5 Reactions
4 Replies
2K Views
MATAYARISHO YA NYERERE DAY NA HAMZA KASSONGO ON SUNDAY Hamza Kassongo amenihoji historia ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere na jinsi alivyoishi na marafiki zake aliojuananao siku...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nyumba ilikua na basement au sakafu ya chini. Hii ilikua na wine seller , jiko la familia, chumba cha baridi kwa kuhifadhia nyama, vyoo na mabafu ya wafanya kazi dining ya wafanya kazi pamoja na...
26 Reactions
77 Replies
8K Views
Inasemekana kuwa kuhamisha watu waishi kwenye vijiji vya ujamaa ndiyo uhamishaji wa watu mkubwa zaidi kuwahi kutokea Africa. Inasemwa kuwa katika miaka minne, toka 1974 hadi 1977 watu milioni 11...
9 Reactions
59 Replies
3K Views
THE ONE AND ONLY HAJI SUNDAY MANARA Nimemjua Haji bado mtoto mdogo Mtaa wa Bonde karibu na Msikiti wa Sheikh Idrissa bin Saad. Baba yake Sunday "Computer," Manara rafiki yangu na sote...
11 Reactions
12 Replies
2K Views
Mtoto wa chifu aliyekuwa na Wake 22, akaanza shule akiwa na miaka 12 akahitimu kama Tanganyika One(T.O). Akasoma Tabora Boys, Makerere na Edinburgh huko Scotland. Akafundisha Pugu na Mkapa alikuwa...
2 Reactions
31 Replies
3K Views
Serikali changa ya mwalimu Julias Kambarage Nyerere ilikabiliwa na changamoto nyingi sana. Mwalimu aliwahi kuainisha mojawapo ya changamoto kuu: Ujinga, Magonjwa, na Umaskini. Hata hivyo mnamo...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…