LAITI WATU HAWA WANGEANDIKA KUMBUKUMBU ZAO
Wengine tayari wameshatangulia mbele ya haki miaka mingi na wengine hivi karibuni na wengine bado wanaishi na nawaombe dua Allah awape umri mrefu...
KIVULI CHA KWAME NKRUMAH KATIKA TANU
Hayo maneno hapo chini yaliyoandikwa na Kwame Nkrumah nimeyaona hapa jamvini na yamenikumbusha ushawishi wake kwa wanasiasa wa Tanganyika wakati wa kudai...
RAJAB MATIMBWA MWANACHAMA NA MWANA KWAYA YA TANU 1954 NA MWANACHAMA CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) 1977
Sijui kwanini siku zote ninapowataja wanachaa wa TANU ile ya mwaka wa 1954 huwa namsahau Rajab...
Mugabe Scary UN Speech Warning the World About NATO
Address by His Excellency Robert Mugabe, President of the Republic of Zimbabwe at the General debate of the 67th Session of the
General...
KUMBUKUMBUKU ZA ''THEORETICIAN'' KHAMIS ABDULLAH AMEIR ZIKO UWANJANI
Haya ndiyo maajabu makubwa katika historia za Afrika kuwa wanaostahili kupewa sifa hawasifiwi wala hawapewi medali sifa...
TANU YASHEHEREKEA SIKUKUU YA SABASABA 1956
Picha hiyo hapo chini iliyopigwa na Mohamed Shebe sasa ni maarufu hapa jamvini kwani mara nyingi nimeibandika hapa.
Nairejesha tena hapa jamvini safari...
Baada ya kumsoma Balozi Mpungwe nami nikaona nitie langu kumuunga mkono lakini si leo bali kurejea nyuma miaka mingi sana nikiwa na umri wa miaka 15 mwanafuzi wa sekondari:
Ujumbe mzito...
KURASA DARASA TBC1: UCHAMBUZI WA MAGAZETI, MAJARIDA KATIKA HISTORIA YA TANGANYIKA
Leo nilikuwa na matembezi ndani ya mitaa na vichochoro vya Maktaba nikimzungusha Mtangazaji wa kipindi cha...
Wabelgiji waliweka watawala katika vijiji ambao walitumikia Ufalme wa Mfalme Leopold. Baadhi ya wake wa watawala hawa walikua na nguvu kubwa hasa katika jumuia ya wanawake. Mafano ni Malkia...
NKRUMAH'S CPP AND NYERERE'S TANU 1950s
Kwame Nkrumah and the Gold Coast as it was then known had a special place to us.
All of us in TANU including Nyerere were great admirers of Nkrumah on his...
AISHA ''DAISY'' SYKES ANAVYOWAKUMBUKA MAMA NA BIBI ZAKE WALIOSAHAULIWA NA HISTORIA
Utangulizi
Kila ninapofikiri kuhusu historia ya kupigania uhuru wa Tanganyika hasa katika zile siku za mwanzo...
Wanasiasa hufanya makosa mengi sana wakiwa madarakani. Wanapoyafanya huwa hawana uwezo wa kupima ukubwa na madhara ya wanachokusudia kukifanya. Ni pale wanapokuwa wanapokea lawama nyingi ndio...
NYUMBA YA AHMED ADAM ALIYOFIKIA MWALIMU NYERERE MIKINDANI INAKARABATIWA
Mwaka ulikuwa ni 1955 na katika mkutano mkuu wa kwanza wa TANU ulifanyika Ukumbi wa Hindu Mandal Dar es Salaam Lindi...
-----------------IN FACT----------------------
UNAFAHAMU KUWA URUSI ILIIUZIA MAREKANI JIMBO LA ALASKA?
ALASKA ni jimbo lililopo kaskazini-magharibi mwa bara la AMERIKA KASKAZINI,kwa upande wa...
WANAWAKE KATIKA MIKUTANO YA MWANZO YA TANU MNAZI MMOJA
Peleka jicho lako upande wa kushoto utaona wanawake wamevaa mabaibui meusi.
Hawa ndiyo wanawake ambao Daisy anawahadithia katika kumbukumbu...
Asubuh ya leo mnisamehe nimemkumbuka. Rafiki yangu Afande Mashaka aliyekufa kifo kibaya zaidi ya miaka takribani kumi iliyopita.
Nakumbuka Mimi nilikuwa kidato Cha sita hapo Azaboy, ndipo nilipo...
Mwaka 2008 nguli wa Zouk barani Afrika, Oliver Ngoma aliugua figo na alihitaji matibabu nje ya nchi. Lakini aliwekewa zuio la kusafiri nje. Serikali ya Rais Omary Bongo ilimtuhumu Oliver kwamba...
RIZIKI SHAHARI: WANAWAKE KATIKA KUPIGANIA UHURU WA TANGANYIKA 1950s
Ilikuwa wakati Julius Nyerere yuko Musoma ndipo John Hatch kutoka Chama cha Labour cha Uingereza alipokuja Tanganyika kama...