Jukwaa la Historia

On JF:

Anaitwa Abdulrahman Amiri Shimbo. Alikuwa katika kikosi cha JWTZ kilichotumwa Seychelles kufundisha Jeshi la visiwa hivyo. Major Abdulrahman Shimbo alikwenda Seychelles mwaka 1978 kuwa katika...
18 Reactions
109 Replies
17K Views
Hii picha ilipigwa mwaka 1970 nchini Buligaria katika mji wa Varna. Ma archeologists walichimba kaburi hili linalosadikiwa kuwa ni la miaka 500BC. Ubora wa dhahabu waliyoikuta wanasema haujawahi...
8 Reactions
19 Replies
2K Views
UKIPENDA KUSOMA HISTORIA YA TANZANIA Shk Mohammed Said...mimi hupenda (na nafaidika mno) na mazungumzo/maelezo ya historia ya Tanganyika..nina suali dogo tu... Jee haya majadiliano na mahojiano...
2 Reactions
3 Replies
848 Views
Miaka hiyo umeme ulikuwa ni kwa wachache wenye uwezo na maji kulikuwa na visima vya mdundiko katikati ya miji. Wakati wa baridi kulikuwa na gogo la moto linalotoa joto. Bill ya kulipa ilikua ni...
1 Reactions
1 Replies
798 Views
Imekuwa kawaida sana siku hizi vijana katika media kunipigia simu na kuniombawanifanyie mahojiano kuhusu historia ya uhuru wa Tanganyika. Siku moja kijana Masekepa Asangama alinipigia simu na...
0 Reactions
0 Replies
755 Views
Gen.Tito Okello Lutwa alizaliwa katika kijiji cha Nam Okora wilaya ya Kitgum wakati wa vita vya kwanza vya Dunia mwaka 1914,Kuhusu elimu yake mengi hayajulikani mengi hata hivyo alijiunga na Kings...
3 Reactions
6 Replies
6K Views
HOFU HII INAYOPELEKEA KUFUTA HISTORIA YA KWELI NINI SABABU YAKE? KITENDAWILI: KUNA HISTORIA YA TANU ILIYOASISIWA MISHENI YA TOSAMAGANGA NA KUNA HISTORIA YA TANU ILIYOASISIWA NA ABBAS MAX IRINGA...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
25 June 2022 Former president of South Africa, Thabo Mbeki recalls an encounter with president Idi Amin of Uganda during the struggles against apartheid in South Africa. He also recalls how...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
ILIPOKUWA NYUMBA YA ABBAS MAX MUASISI WA TANU IRINGA Hapa ni Iringa sehemu nayojulikana kama Makorongoni. Mtaa huu ni Mtaa wa Pangani. Hapa ndipo ilipokuwa nyumba ya Abbas Max (1918 - 1993)...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
KUKU "MAKANGE RECIPE" (MAKANGE CHICKEN) IRINGA Wakati ni wa chakula cha mchana na niko katika mgahawa mmoja katikati ya mji wa Iringa jina lake Coffee Shop. Mwanangu anatoa "order," anaomba kuku...
5 Reactions
3 Replies
2K Views
NYUMBA YA SHEIKH HUSSEIN JUMA VICE PRESIDENT WA UNITED TANGANYIKA PARTY (UTP) Rafiki yangu mmoja kaniletea maelezo hayo hapo chini kuhusu picha ya Mtaa wa Mafia na Nyamwezi: ''BRO, HIYO NYUMBA...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
ALLY SYKES KATUNUKIWA BARABARA Rafiki yangu mmoja hapa FB kaniletea ujumbe jana usiku akinifahamisha kuwa kaona kibao cha Ally Sykes alichotunikiwa katika barabara mojawapo jijini Dar es Salaam...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
RUAHA MTO ULIOLIPIZA KISASI CHA KIFO CHA MTWA MKWAWA 1898 Katika askari mamluki walitoka Mozambique kuja German Ostafrika kuja kupigana katika jeshi la Wajerumani dhidi ya Mtwa Mkwawa na Abushiri...
2 Reactions
2 Replies
2K Views
Na:Abdull Najad Faiq Tunapoizungumzia nchi ya England kijografia ni taifa la kisiwa lililozungukwa na bahari pamoja na mito mingi ama sehem kubwa ila mbali na aina hii yake ya geographia haikua...
0 Reactions
0 Replies
628 Views
MTAA WA MAFIA NA NYAMWEZI ZAMANI Hii picha ya kwanza ni Mtaa wa Mafia na Nyamwezi na mbele ni Barabara ya Msimbazi. Nyuma ni Mtaa wa Nyamwezi. Nyumba ya Mzee Mussa Pazi iko mkono wa kulia...
3 Reactions
3 Replies
2K Views
Kwa wale wahenga na wajuvi wa hizi mambo huyu mwamba aliyeitawala Zaire kwa mkono wa chuma alipitishia bandari gani zana zake za kijeshi? Nakumbuka huyu mwamba zilikuwa haziivi kabisa na mzee...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
OFISI YA AL JAMIATUL ISLAMIYYA FI TANGANYIKA 1930s/SASA OFISI YA BAKWATA SHEIKH WA WILAYA NDANI YA OFISI YA AL JAMIATUL ISLAMIYYA FI TANGANYIKA Picha hiyo ya kwanza ingawa imepigwa miaka ya 1930s...
2 Reactions
0 Replies
576 Views
JENGO LA AL JAMIATUL ISLAMIYYA FI TANGANYIKA (UMOJA WA WAISLAM WA TANGANYIKA) Historia ya Al Jamiatul Islamiyya Fi Tanganyika (Umoja wa Waislam wa Tanganyika) ni historia ya pekee sana. Jana...
2 Reactions
0 Replies
608 Views
Kitabu cha Khamis Abdulla Ameir kimezinduliwa leo asubuhi. Hapo chini ni sehemu ya kwanza ya pitio la kitabu hicho: PITIO LA KITABU CHA KHAMIS ABDULLA AMEIR: ‘’MAISHA YANGU MIAKA MINANE NDANI...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…