Jukwaa la Historia

On JF:

HAIKUWA RAHISI SAID KASTICO KUPEWA MTAA...KAMA KAWAIDA Mtendaji wa Mwenge hakuwa kafurahia sana Mzee Said Kastico kuadhimishwa. Ugomvi ukatokea hadi ukafika kwa Msaidizi wa Mkuu wa Wilaya. Ukoo...
2 Reactions
23 Replies
2K Views
Tunakumbushana tu kwa sababu haya mambo mengine ya hizi Kodi na Tozo siyo mapya ila tu wengi wenu humu Jf hamkuwepo duniani. cc: Pascal Mayalla, mrangi
2 Reactions
8 Replies
985 Views
Pwani ya Dar es Salaam ambako watu walimpokea muarabu wengi wao majina ya ukoo hawataki kuyatumia na wengi hawayajui, Mfano kuna watu waliitwa Juma Tambaza na Tambaza ni jina la ukoo. lakini...
3 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu! Nimeanzisha majadiliano haya ili kutoa fursa kwa wataalamu wa historia na wafuatiliaji wa historia mbalimbali kutushushia nondo za maarifa kuhusiana na historia ya China katika...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Mangungo, Sultan wa Msovero katika Mwenyisagara, na Dk. Karl Peters. Mangungo sambamba na watu wake wote na Dk. Peters kwa niaba yake na washirika wake wengine wajao kwa pamoja wanaweka mkataba wa...
1 Reactions
10 Replies
3K Views
MWALIMU KIHERE APEWA MTAA SAHARE TANGA Tanga imemtunuku Mwalimu Kihere Mtaa kwa kutambua mchango wake katika kupigania uhuru wa Tanganyika. Siku moja katika miaka ya mwanzo sana baada ya uhuru...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
TAAZIA: MJA WA KHERI SHEIKH SALIM BIN AHMED BAJABER Nimepata taarifa hii leo mchana kuwa Mzee Salim Ahmed Taib Bajaber Mkurugenzi Mkuu wa Pembe Flour Mills (PFM) amefariki Mombasa na kazikwa...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
TAAZIA: AUGUSTINO MREMA (1944 - 2022) Mohamed Mlamali Adam alimwandikia taazia Thabit Kombo alipofariki. Kalamu ya Mlamali akiandika kwa lugha yeyote iwe Kiswahili au Kiingereza inastarehesha...
3 Reactions
21 Replies
3K Views
What are the relevances of African political thougths to our contemporary African politics?
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Kunasimulizi nyingi kuhusu huyu mwamba ambazo hazijawahi andikwa. Katika simulizi nilihadithiwa na bibi warafiki yangu mwaka juzi tu ikanishangaza kumbe mwamba kweli alikuwa ananguvu za...
3 Reactions
20 Replies
2K Views
Wakuu naombeni mnifahamishe NI barabara kuu gani hapa nchini zilipata bahati ya kuwekewa lami tangia miaka ya nyuma.
0 Reactions
4 Replies
594 Views
KIVULI CHA WAZEE WAZALENDO KINAPOWAFUNIKA NA KUWAZIBA WATOTO NA WAJUKUU: HISTORIA YA KLEIST ABDULWAHID SYKES (1950 - 2017) NA BAKARI HARITH MWAPACHU (1939 - 2021) Jana baada ya kifo cha Bakari...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
KISA CHA YUSUF ATHUMANI MARSHA, PETER MBWIMBO NA JULIUS NYERERE MWANZA 1950s Tuanze na Peter Mbwimbo. Peter Mbwimbo ameandika kitabu, ''Peter D. M. Mlinzi Mkuu wa Mwalimu Nyerere.'' Wakati...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Vita ya Abushiri ilikuwa jaribio la wenyeji wa pwani ya Tanganyika kuzuia utawala wa Kampuni ya Kijerumani kwa Afrika ya Mashariki mwaka 1888/1889 lililokandamizwa na jeshi la Wajerumani...
8 Reactions
8 Replies
3K Views
..kwa kweli elimu anayoitoa ni ya kupigiwa mfano. ..Ni vizuri wananchi wengi zaidi wakaelewa haki zao.
1 Reactions
2 Replies
923 Views
Kalulu alikuwa ni kijana wa miaka 12 ambaye alinunuliwa kama mtumwa kutoka kwa waarabu huko Zanzibar na mwingereza aitwae Sir Henry Morton Stanley. Mwingereza huyu alikuja kama mpelelezi kwa ajili...
12 Reactions
48 Replies
11K Views
Ijumaa , Septemba 22, 1989 Franco Luambo Luanzo Makiadi alifanya onyesho lake la mwisho maishani mwake katika ukumbi wa De Melkweg jijini Amsterdam Uholanzi. Alipoingia tu katika ukumbi siku hiyo...
4 Reactions
17 Replies
11K Views
MBUYU ULIANZA KAMA MCHICHA Hapa katika kiwanja hicho wazee wetu walipojenga ofisi ya African Association Mtaa wa New Street na Kariakoo kwa kujitolea kufanya kazi ya ujenzi kila siku ya Jumapili...
1 Reactions
3 Replies
586 Views
Mkalimani wa Mwalimu Nyerere Bi. Li Jinglan amefariki Agosti 5 huku akisotea malipo ya Tsh. 1. Bilioni alizoshinda kama fidia dhidi ya NHC. Baada ya kushinda kesi mwaka 2003 dhidi ya NHC na...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
ABDALLAH TAMBAZA NA KLEIST SYKES Nafungua gazeti la Raia Mwema nimekuta katika ukurasa maarufu wa Shajara ya Mwana Mzizima makala haya, "Huyu Ndiye Kleist Sykes Meya Aliyebuni Mradi wa...
3 Reactions
4 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…