Jukwaa la Historia

On JF:

THE STANDARD OF THE REASONABLE MAN’’ (KIWANGO CHA FIKRA YA MTU WA KAWAIDA): MJADALA WA UTEUZI WA MKURUGENZI WA TUME YA UCHAGUZI ZANZIBAR Lord Denning wanasheria wanamjua sana kwa hukumu zake...
0 Reactions
2 Replies
552 Views
Wakuu leo nishee na nyinyi kitu hiki. Historia ya Ng'wana Malunde Na Emmanuel Kasomi Maisha ya awali Ngw'anamalundi alizaliwa katika kijiji cha Mwakubunga Nera katika Wilaya ya Kwimba mkoani...
6 Reactions
32 Replies
13K Views
Mnakumbuka kuhusu hafla ya kumzika malikia Elizabeth ll yalifanyika kwa faragha siku ya mwisho ya kuuweka mwili wake eneo la mapumziko?. Sasa bwana jambo lile lilizua mjadala huko Uingereza, hoja...
4 Reactions
6 Replies
1K Views
Ilikuwa kwa upande wa akina mama wakati wa kupigania uhuru wa Tanganyika nafasi ya kuongoza umma kwa akina mama chini ya TANU ishikwe na Bi. Halima Hamisi au Bi. Titi Mohamed. Bi. Halima wakati...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
CHAMA CHA SIASA KINAPOOGOPA SANDUKU LA KURA Hili ni jinamizi. Chama cha siasa kutishika na ''ballot box.'' Vipi utakuwa bondia wakati unaogopa uso wako kuguswa na makonde? Vipi utakwenda...
0 Reactions
2 Replies
650 Views
HASSAN KINYOZI NA AHMED SEIF: WAAJIRIWA WA KWANZA WA TANU SOUTHERN PROVINCE 1955 Bingwa wa historia ya Tanganyika John Iliffe amepata kusema kuwa historia ya TANU iko mikononi mwa watu binafsi...
0 Reactions
0 Replies
633 Views
Hakika siku hii kila mtu aliyekuwepo sehemu hii alitokwa na machozi. Mtoto wa marehemu alisoma kilichoandikwa kwenye karatasi na watu kutokwa na mchozi kwa unyama alifanyiwa baba yake.
3 Reactions
20 Replies
2K Views
African-Indians, Indians of African origin. There are at least 20,000 of an African-origin ethnic tribe who have been living in near total obscurity in India for centuries. Descendants of Bantu...
1 Reactions
1 Replies
770 Views
NYERERE DAY 2022: MWANZO WA HARAKATI ZA KUDAI UHURU - UCHAGUZI WA TAA 1953 (NYONGEZA YA PICHA) Katika video iliyotangulia kipindi cha Zumari watu wengi wamevutiwa na historia ya uchaguzi wa TAA wa...
5 Reactions
10 Replies
2K Views
Huyu mwamba hapo pichani anaitwa bwana Vachili Archipov. Alikuwa ni mwanajeshi wa jeshi la Urusi kitengo cha kulipua mabomu kwenye manowari jeshi ya kivita huko Urusi, wakati huo ikijulikana kama...
10 Reactions
14 Replies
2K Views
Msomi, mwanamapinduzi na mwanaharakari. Pichani akiwa na Che Guevara na Malcom X. Ndege wafananao huruka pamoja.
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Greetings Earthlings, Hizi empire mbili zilitawala kila moja kwa muda wake. Roman empire ilitawala muda mrefu zaidi na ilikuwa na phase mbili ya kabla kuwa ya kikristo na baada kuwa ya kikristo...
6 Reactions
165 Replies
17K Views
PICHA YA ALI MSHAM NA IDDI FAIZ MAFUNGO NDANI YA NYUMBA YA KUMBUKIZI YA BABA WA TAIFA Jana nimeeleza kazi ya Jaffar Mponda katika kutayarisha kipindi cha Nyerere Day. Jaffar Mponda alikuwa...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
The Battle of 𝗔𝗱𝘄𝗮 was the result of Italian encroachments south of their colony of Eritrea on the Red Sea. Though bound by the 𝗧𝗿𝗲𝗮𝘁𝘆 𝗼𝗳 𝗪𝘂𝗰𝗵𝗮𝗹𝗲 (1889) to friendship, the Italians and Ethiopians...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
JENGO JIPYA MAKAO MAKUU YA ACT WAZALENDO NGOME YA MAENDELEO NA AMANI Naangalia picha ya jengo la Makao Makuu ya ACT Wazalendo lililoko Magomeni Mikumi. Jengo hili limepewa jina la Maalim Seif...
3 Reactions
10 Replies
2K Views
Mnamo tarehe 7/2/1706, Kimpa Vita aliuawa kwa kuchomwa moto na mishenari wa kikatoliki huko nchini Congo. Kimpa vita aliuliwa kwa sababu tu ya kuwahubiria watu kuhusu imani ya kijadi ya Kongo na...
6 Reactions
9 Replies
1K Views
Ilikuwa ni siku ambayo jiji la Dar es salaam liligubikwa na majonzi huku vilio vikitawala katika kila kona yake. Majonzi haya hayakutokana na kumpoteza mwasisi wa nchi hii pekee bali ni hofu ya...
2 Reactions
0 Replies
788 Views
UKOO WA KIVURUGA UMEPEWA BARABARA TABORA Katika moja ya koo maarufu Tabora ni ukoo wa Kivuruga. Ndugu wawili Maulidi na Abdallah Kivuruga ni watu waliokuwa mashuhuri Tabora mjini katika siasa na...
4 Reactions
32 Replies
2K Views
Posti ya Twitter inayodai serikali imesitisha somo la Historia ya Tanzania ya kumtukuza hayati rais John Magufuli SI KWELI. Posti inakiunganishi kwenda katika tovuti inayoeleza kwa undani juu ya...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
RICHARD SPIKES: MVUMBUZI WA INJINI ZA GARI ZA KISASA!! Wengi wetu leo tunaendesha gari za kisasa zenye kubadili mwendokasi bila kuhitaji kubadili gea(automated gear transmission systems), na...
6 Reactions
14 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…