February Makamba
JF-Expert Member
- Jan 31, 2020
- 2,116
- 2,820
Greetings Earthlings,
Hizi empire mbili zilitawala kila moja kwa muda wake.
Roman empire ilitawala muda mrefu zaidi na ilikuwa na phase mbili ya kabla kuwa ya kikristo na baada kuwa ya kikristo
Kabla kuwa ya kikristo ilitawala dunia kwa mateso na kuonea wasioamini miungu ya kirumi..
Baada ya kuwa ya kikristo miaka ya 200AD iliendelea kutawala na kutesa sana wasioamini ukatoliki.hivyo ilisaidia sana kukua kwa ukatoliki na kuupa nguvu duniani
Ottoman empire nayo ilitawala kwa makalifa na ilitumia upanga na vita kuenea kutoka mecca mpaka middle east yote + far East kama india + North Africa
ilisaidia kukuza uislam...watu wengi wasioamin waliuwawa na tawala za dini tofauti zilishushwa(kwa upanga)
Swali langu:Kati ya hizi tawala mbili ipi ilikuwa katili zaidi(Most brutal) per time it ruled?
Nb;sio mjadala wa dini,ni pure history na facts tuachane na hisia zetu according to imani zetu