moja kwa moja kwenye mada wadogo zangu wawil walifanya chaguz za course zao lakin kwa bahati mbaya hawakuchaguliwa..hivyo kufanya niwasaidie kuomba kwa mara ya pili (second round) niliingia kwenye...
Wakuu, poleni na majukumu mdogo wangu alichaguliwa BaEd DUCE ila leo udom kachaguliwa environmental disaster.. Kama mdau mzuri wa elimu na uelewa wako please asaidiwe aende course ipi kati ya hizo...
Nimekosa first na second selection kwa upande Wa diploma ya ualim Wa sayansi kwa form 4 Nina credit ya 1.9 ( chemistry C,biology C,geography C,physics D, kshl C Language C ,CVS C na mathematics ni...
Jaman naomba tuzidi kuomaba,
Mungu ameanza kionyesha mwanga...bahati nzur kat ya vyuo vilivyo anza kutoa majina...second...nimechaguliwa ...RUCU[emoji39] [emoji39] [emoji39]
The James P. Grant School of Public Health (JPGSPH) at BRAC University in Dhaka, Bangladesh is accepting applications for TDR International Post Graduate Training Scheme Master of Public Health...
Wadau nimeamua kanzisha huu uzi ili tuweze kubadilishana mawazo kwa ambao wanaingia mwaka huu na ambao wapo tayari katika masomo ili tuweze kujua tusicho kifahamu ili tuweze kutoboa.
SECOND BATCH OF STUDENTS SELECTED TO JOIN UNDERGRADUATE DEGREE PROGRAMMES FOR ACADEMIC YEAR 2017/2018http://www.mwecau.ac.tz/index.php/2013-09-24-08-36-52/latest-news
Msaada jamani kuna dogo kachaguliwa bachelor of art in geography and environmental studies.... Eti watu wanaosoma hii course wanaitwaje hapa Tanzania na wanahusika nini?
Dogo anahitaji kujuzwa...