MSAADA

MSAADA

Optimistic_

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2017
Posts
2,347
Reaction score
1,860
Msaada jamani kuna dogo kachaguliwa bachelor of art in geography and environmental studies.... Eti watu wanaosoma hii course wanaitwaje hapa Tanzania na wanahusika nini?

Dogo anahitaji kujuzwa ili afanye maamuzi sahihi maana kachaguliwa zaidi ya chuo kimoja
 
Huitwa Afisa Mazingira (Environmental Officer) mara nyingi kazi zao huwa ni kuchunguza miradi(mfano. Viwandani,migodini,shughuli za ujenzi n.k) au matukio yanayoweza kuleta athari kwa viumbe hai na visivyo hai. Pia kutafuta njia mbadala za kupunguza au kuondoa hizo athari. Kuhakikisha wafanyakazi wanafanya kazi katika mazingira safi na salama na kuwashauri watu juu ya umuhimu wa kuhifadhi na kutunza mazingira. Ajira zao huwa zipo serikalini na mashirika binafsi.
 
Civilized!!!
pongezi kwa jibu mnyumbuliko

Back
Top Bottom