Bachelor of arts with eduction=Duce Vs Environmental disaster management Udom...

DMCT

JF-Expert Member
Apr 25, 2015
2,276
5,929
Wakuu, poleni na majukumu mdogo wangu alichaguliwa BaEd DUCE ila leo udom kachaguliwa environmental disaster.. Kama mdau mzuri wa elimu na uelewa wako please asaidiwe aende course ipi kati ya hizo msaada wa haraka ndugu zangu...
 
Kwan wewe focus yako ni kuwa nan
Wakuu, poleni na majukumu mdogo wangu alichaguliwa BaEd DUCE ila leo udom kachaguliwa environmental disaster.. Kama mdau mzuri wa elimu na uelewa wako please asaidiwe aende course ipi kati ya hizo msaada wa haraka ndugu zangu...
 
Hiyo ada ni bora akafungue mashamba tu... walimu wanamiaka mi3 no ajira na private ndo hamna kitu.. hyo environmental sijawahi ona hata tangazo la ajira yake..
 
Wee unaijua kesho....acha mambo ya mvuringo mkuu
 
Wakuu, poleni na majukumu mdogo wangu alichaguliwa BaEd DUCE ila leo udom kachaguliwa environmental disaster.. Kama mdau mzuri wa elimu na uelewa wako please asaidiwe aende course ipi kati ya hizo msaada wa haraka ndugu zangu...
Hadi saiz hajaconfim anaenda wapi????...mwaka huu TCU wanachinja viumbe
 
Maisha ni kupambana ..kama huyo dogo anatamanj kuja kujiendeleza baadae katika masuala ya elimu yaan masters na PhD ni bora achukue hiyo environmental and disaster management atakuwa na chance ya kudiverge na Ku specialize katika field za sayansi hasa katika mazingira...

Ni hayo tu.
 
Ahsante kwa ushauri mkuu
 
Hadi saiz hajaconfim anaenda wapi????...mwaka huu TCU wanachinja viumbe
alichaguliwa duce pekee hvo ali reaplly udom mara ya pili ndo kachukuliwa hiyo sema inasemekana ni mpya udom.. So akaomba ufafanuzi
 
Hiyo program kwa udom iko vzr sana,

BaEd ya DUCE sina imani nayo,
Ila nadhani mwanafunzi angezingatia lengo lake maishani
 
Kama alichaguliwa DUCE aka-reapply UDOM basi duce hakuipenda bali anapendelea Udom,

Aende kule moyo wake unakomwelekeza
 
Education ni fani iliyolaaniwa. Utakufa masikini. Mimi ni mtoto wa waalimu yani baba na mama. Nimejionea mwenyewe. If you have a choice, ni bora uende huko kwenye ev disaster... Unaweza ukapata kazi migodini au kwenye makampuni ya uchimbaji n.k ukapata mshahara mzuri...
 
Back
Top Bottom