Ukifungua inakuletea vitu visivyoeleweka, ukitaka kuingia kwenye akaunti yako kuangalia selection results inaleta maruweruwe mengi, watu wa IT udom tunaomba mlifanyie kazi tatizo hili
Jamani mwaka huu walikuwa wanachagua vyuo kwa vigezo gani kwa maana kuna watu kibao wenye Two na One wameachwa kwa mfano kuna dugu yangu ni PCB ana two ya 12 na mwingine TWO ya 11 watu wamekosa...
Wakuu nina kibarua cha kuchagua chuo kimoja kati ya viwili kwa ajili ya bwana mdogo aliepo jkt,Jana usiku saa tatu nilipokea meseji toka namba 15200 ikinambia nahitaji kucomferm kwenye chuo...
Habari JF,nime chaguliwa bachelor degree in biology chuo cha udom naomba kujua niki soma hiyo kozi baadae nta kuwa nani? au nta weza fanya kazi gani kulingana na hii kozi. Mawazo yenu muhim sana
Salam wakuu,
Nimefungua uzi huu maalum kwa wakuu mbali mbali ambao tulipitia pale ifm kuweza kukutana hapa kujuliana hali na kufahamu mawili matatu na kushare experience mbalimbali kuhusu maisha...
Nimechaguliwa kujiungUDOM ila ninahitaji kuihama kozi ambayo nimechaguliwa!!
Je kuna uwezekano wa kuhama kozi hiyo na kama upo je ni hatua gan nitahitaji kuzifuata ili kuihama kiurahisi...
Naomba kujuzwa wadai kwa wale ambao tumekosa kuchaguliwa kwa awamu ya kwanza,kwa mfano awamu ya kwanza niliomba Udom,lakini pia kwa awamu ya pili nataka niombe tena hapo udom,Je kuna haja tena ya...
Nimechaguliwa kujiungUDOM ila ninahitaji kuihama kozi ambayo nimechaguliwa!!
Je kuna uwezekano wa kuhama kozi hiyo na kama upo je ni hatua gan nitahitaji kuzifuata ili kuihama kiurahisi...
Mkurugenzi wa jiji la Arusha Dkt Maulid Madeni amewatakia wanafunzi wa darasa la saba kila la heri katika mitihani yao wanayoianza kesho.
Sent using Jamii Forums mobile app