Bado navuta tafakuri ambayo wakati wote inapelekea nijiulize maswali mengi ambayo kwa bahati mbaya nimekuwa nikishindwa kuyapatia majibu.Mfano wa swali mojawapo la msingi ambalo ni kati ya yale...
Taarifa zilizonifikia hivi punde zinasema kuwa huko Dodoma wanachuo wa St. Johns waandamana kupinga vitendo vya wizi na ubakaji vinavyofanywa na vijana wa kihuni pembezoni na ndani ya chuo hicho...
Nigerian Rapper Don Saint is out with a new book "Emancipation From Masturbation'. Don Saint is the second Nigerian Hip Hop Artiste after Naeto C to obtain a Masters Degree in Religion and Human...
jamani nimehtimu kidato cha 4 mwaka 2007 na nika awarded na div two.baada ya hapo nilienda advance kusoma.HGL nikawa awarded div 3 point 15,
sikuomba chuo kwa kuogopa kusoma ualimu,kwasbb nilijua...
KWA KAMISHENA WA ELIMU
WIZARA YA ELIMU NA MAFUNZO YA UFUNDI,
MAKAO MAKUU DAR-ES-SALAAM.
Yah: WARAKA WA ELIMU NAMBA 5 WA MWAKA 2012 KUHUSU MAREKABISHO YA MIHULA YA SHULE ZA SEKONDARI NA VYUO...
Wadau,
Tumeshuhudia wanafunzi wengi wakifeli darasa la saba wanavyosota mitaani bila mahali pa kwenda, hasa wazazi wao wasipokuwa na uwezo wa kuwapeleka shule binafsi.
Kwa sababu hii pia, bila...
Viongozi wa UDOSO mnasubiri nini kujiuzulu? Wanafunzi wa UDOM wanaishi bila mikopo kwa zaidi ya miezi mitatu chuoni na wakati nyie mpo??kama mmeshindwa kutatua matatizo ya wanafunzi wenu...
Ni maswali ambayo yananitatiza kila siku, katika shule ya sekondari ya serikari ambayo ninasoma kuna utaratibu wa kuletwa waalimu ambao ni raia wa kigeni hasa marekani kuja kufundisha Wanakaa...
(1) Mimi nimepita chuoni, au (2) Chuo kimenipitia mimi!
Tafakari na ujibu ukilinganisha na wasomi wetu (kwa idadi kubwa) hapa Tanzania. Kuelimika ni kubadilisha tabia na mwenendo huku...
Habari zenu wana jamvi,
Nasikitika sana wanafunzi vyuo vikuu mwaka huu kukosa mikopo haaswa mwaka wa 2,3 na 4.Wanafunzi hao hulalamika sana na kufikia hatua kwenda bodi ya mikopo wenyewe kudai...
Habari zenu wana JF,
Mimi ni mwalimu ninatafuta sehemu ya kufundisha part time somo la Kifaransa.Nina shahada ya Elimu na uzoefu wa miaka 2.Niko tayari kufundisha kuanzia primary school,sekondary...
upo class unafundisha geo mada ni rotion of the earth...mwanafunz akauliza kwa hiyo kama dunia inajizungusha na sis bila shaka tunazunguka pia, lakin mbona dakika hii hapa tulipo hatuzunguki na...
Habari za muda huu.
Habari za kusikitisha kabisa ni kwamba mmoja wa wakaguzi wa ELIMU wilayani Rombo ametoa kauli chafu na ya kuudhi kama si kudhalilisha kwa kundi la Walemavu.
Mkaguzi...