Ndugu habari za hasubuhi
Naomba mdau mwenye kuweza kunipatia hiyo software ani PM, niweze kumtafuta
nahiitaji ndugu wadau kwa minajili ya mazoezi binafsi, Natanguliza shukrani za dhati
fungua link hii subiria sekunde tano sababu wame-ishrink afu bonyeza SKIP AD juu kulia afu ikifunguka kuna file la pdf kb 60 ambayo ni barua kuelezea hivyo vyuo
SOURCE
BARUA YENYEWE...
wadau natafuta kitabu cha tcu , kile chenye orodha ya vyuo na masomo yanatolewa kwenye kila chuo.
nimetembelea Home - Tanzania Commission for Universities lakini nimeshindwa kujua ni link gani...
Elimu yangu std 7.nataka kujiendeleza lakini muda sina je naweza kusoma kwa posta?Kama kuna mtu ana hata anuani ninakoweza kupata elimu hiyo anisaidie.
CHUO KIKUU CHA TUMAINI (KURASIN) kilicho chini ya KANISA LA KILUTHERI baada ya kupiga marufuku suruali kwa wanachuo wa kike na baadhi ya mavazi kwa wanaume DEAN atengua rasmi katazo hilo...sasa...
Nimekua nitembelea shule za msingiWilaya ya Songea vijijini na kugundua kuwa shule zote zonazotoa chkula cha mchana zina mahudhurio mazuri ya wanafunzi na pia wanafunzi wake wanautayari mkubwa wa...
Hivi kati ya Tourism and Tour Guide,Social Work,Human Resources na Industrial Relation kozi ipi ni nzuri na ipo kwenye soko la ajira.... Nisaidieni jamani kabla sijaamua vibayaaa
HABARI WANAJUKWAA.
Kwa wale wanafunzi mliopo vyuo vikuu kuna ustaarabu ambao umeenea kwakasi kubwa sana katika miaka ya karibu ukilinganisha na wakati wa miaka iliyopita.
Wanafunzi kama...
Kwa miaka michache iliyopita tatizo la ajira limeanza kushika kasi Tanzania na kwa miaka michache ijayo litakuwa tatizo sugu kama hatua za makusudi hazitochukuliwa. Tatizo hili kila mtu analiona...
hv jaman mnalichukuliaje swala la serikali kupandsha wastan kuwa gredi F ni 0-34, D ni 35-49, C ni 50-64, B ni 65-79 na A ni 80-100 maana 4 thix mata cjui kama 2tapta kwl yan kwa kdato cha nne
Nasema ni aibu kwa wasomi wetu wa kada mbalimbali hapa nchini ambao wanategemewa na jamii kubwa ya watanzania katika kuleta mabadiliko na kuchochea maendeleo katika jamii watokazo,ni kama wiki...
Za majukumu wadau! Naomba kwa mwenye kujua hawa watu wanaoitwa makatibu wa utumishi wa walimu hupatikanaje? kama wanateuliwa ni nani huwateua na taarifa zao za mwezi huwa wanazitoa kwa nani...
Hii ni maalum kwa Mwl wa OAF 112: Management Mathematics and Statistics. Kwanza yeye mwenyewe au pamoja na moderator wa maswali km yupo hawako makini na wanachotunga. Hali inayoleta wasiwasi km...
WAKUU
Nili'apply vyuo viwili tofauti. Cha kwanza kinaanza masomo mwezi huu wa 4 na kingine kitaanza mwezi wa kumi. Hiki cha kwanza kimeshatoa selection na nimechaguliwa Lakini hicho kingine bado...
Habari wakuu
Nahitaji ushauri wenu juu ya mwanafunzi aliyemaliza form 4 na kupata division 4 ya 32.
Na hizo D mbili alizonazo si ktk masomo ya sayansi yani hesabu, fizikia, kemia, baiolojia ama...