Mahesabu
JF-Expert Member
- Jan 27, 2008
- 5,972
- 3,830
CHUO KIKUU CHA TUMAINI (KURASIN) kilicho chini ya KANISA LA KILUTHERI baada ya kupiga marufuku suruali kwa wanachuo wa kike na baadhi ya mavazi kwa wanaume DEAN atengua rasmi katazo hilo...sasa SURUALI ni ruksa kwa akina "ke" na yeyote atakayemzua ama kuhoji mavazi hayo aelekezwe kwa DEAN.....!
wakati uongozi wa juu umekataza mavazi yasiyo na staha dean apingana na uongozi, kwa maelezo yasiyo rasmi kuwa anataka kifungu cha sheria kinchoelezea huku akiendelea kunadi kuwa mbona majaji wa kike wanavaa suruali
JEE ANASAHAU KUWA NI CHUO CHA KANISA