Nyamuleha jr
Senior Member
- Feb 20, 2013
- 185
- 65
Mwanafunzi wa chuo cha Udsm duce dar afariki kwa njaa na vidonda vya tumbo mwanafunzi huyo kwajina la Giliadi goodluck umauti umemkuta jana

Pasi ndefu sio mpango!!! R.I.P. ndugu yetu