Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Kulikuwa na tetesi kuwa Matokeo Mapya ya kidato cha Nne yangetoka wiki iliyopita Kulikoni? Serikali yetu mbona siwaelewi jamani? Hamjui mnatupandishia Kisukari mnapotudanganya? Jamani, na...
0 Reactions
46 Replies
10K Views
The united republic of tanzania ministry of education and vocational training pre-primary education syllabus by ricky a mpama 2005,0714 436966
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Leo imetangaza mtihani UNAOANZA J3, KIDATO IV masomo HISABATI, BIOLOJIA, KISWAHILI & KINGEREZA. TUJUZANE LENGO NI NINI?
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Watanzania, siku chache kuelekea matokeo ya kidato cha sita siri nzito imefichuka. Ziro kibao zafurika, Serikali Y CCM kwa mara nyingine yaanza mchakato wa kuzichakachua kimyakimya. Je, serikali...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Mtaniwia radhi ikiwa itaonekana matusi, RAIS KIKWETE NCHI IMEMSHINDA.Yaani kila kitu kinakwenda ndivyo sivyo.Watu aliowapa madaraka hawaoneshi kama wanajiweza kusimamia kazi walizopewa na kuleta...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kwa kile kinachoonekana kuwakera wanafunzi ni ahadi za uwongo za viongozi na kucheleweshewa pesa zao za kujikimu baada ya kusaini wiki kadhaa zilizopita.Wanafunzi wanadai kuchoka na utamaduni wa...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Nimepatwa na kikwazo kuhusu usajili wa vyuoni kupitia NACTE, naomba waliofanikiwa hasa wale wa FTC, kwa sababu nimeshajaza maelezo mengine yote imeenda vizuri tu, ila nilipokuja kwenye FTC baada...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Ni Kibaha sec school kwa waliosoma pale au ndugu zao waliopitia pale watakubaliana na mimi,Mzumbe,Ilboru na kilakala,Feza,Marian zote ni shule nzuri lakini hii ina cha ziada,ingekuwa vizuri kwa...
0 Reactions
41 Replies
5K Views
MASUALA YA JAMII Hakuna matumaini ya elimu bora Tanzania Mwanzo wa mwaka huambatana na shughuli nyingi na msisimko mkubwa kwa watoto wanaoanza skuli, lakini je, hayo yanalingana na majengo...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
A for ATM B for BLACKBERRY C for CHIPS D for DVD E for EMAIL F for FACEBOOK G for GOOGLE H for HUMMER I for IPOD J for JAVA K for KISS L for LAPTOP M for MONEY N for NOKIA O for ONLINE P for...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hivi hii elimu ya Tz yaelekea wapi??? maana hatuelewi mwongo ni yupi? kawambwa au NECTA, Mara matokeo ya 4m iv teari sasa mbona hayatoki???!!!.....
0 Reactions
0 Replies
874 Views
Ni week tatu sasa tangia tarehe ya wanafunzi wa chuo kikuu cha Dodoma walipotakiwa kupaja fedha zao za kujikimu lakini mpaka sasa kimya. Bodi pia wako kimya uongozi wa chuo nao uko kimya...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Eti jamani kuanzia kesho ndio kuna exhibition pale diamond!
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Hizi bodi zinazosajili vyuo kama NACTE NA VETA taratibu zikoje kwa anaejua?\ gharama za usajili wa NACTE na VETA zikoje? masharti? ofisi zao zipo wapi?
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Salaam wakuu, mimi ni mhitimu wa kidato cha nne mwaka 2012, matokeo yangu ya mwanzo nilipata div III ya 23 phy-C chem-C bios-B, Na nlikuwa nampango wa kwenda kuchukua Comb ya PCB ,A-level, tatizo...
0 Reactions
4 Replies
960 Views
HEY WANAJAMMII NAOMBE MNISAIDIE NMESOMA COMPUTER LANGUAGE C, NAMEJARIBU KUTENGENEZA PROGRAM ILA NASHIMNWA KUWEKA USER INTERFACE npen darasa katka hilo plz
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habar zenu wana JF ; napenda niulize ni kiasi gani Rais wetu anayatazama haya yanayoendelea ktk nchi yetu kimsingi ncchi ambayo haina dini lakini watu wake wana dini,na wanaoiongoza kimsigi wana...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
International Admissions simplified with expert advice from WESstudentadvisor.org: Upcoming Webinars...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Pamoja na jukumu la kuzalisha wataalamu wa fani mbalimbali, taasisi za elimu nchini zina nafasi kubwa ya kutatua changamoto kadhaa zinazolikabili taifa hili. Kwa mfano, Chuo cha Ufundi Arusha...
1 Reactions
1 Replies
4K Views
Janeth Idrissa (siyo jina lake halisi), amehitimu kidato cha nne akiwa na cheti daraja la nne chenye alama 27. Kwa kuwa sifa hizo zinakidhi vigezovya Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…