Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Mimi ni mwl wa idara ya sekondari wilaya ya muheza natafuta mwl wakubadirishana nae kituo cha kazi awe anatoka kibaha au dar es salaam sim.0718547517
0 Reactions
2 Replies
964 Views
Manispaa ya Songea ime jaa ufisadi wa hali ya juu,ambapo watendaji wake wanafanya hujuma kwa walimu wa sayansi ambao walitakiwa kuwa na semina ya kuongeza ufanisi katika taaluma yao ya...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Plz jaman mwenye soft copy za notice za stage V i mean PV za bodi ya procurement anisaidie.... Plz forward to dmagoti09@gmail.com Plz help.....
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nilikusikiliza jana unlipokuwa unachangia hotuba ya wizara ya mambo ya vijana michezo na utamaduni, huku ukiwaponda wanamziki wa kisasi kipya. Katika mchango wako kilichoniudhi ni kitendo cha...
0 Reactions
17 Replies
5K Views
I am offering one (tuition free) scholarship for an interested person to study Bachelor of Science in Computer Engineering and Information Technology or Bachelor of Business Administration at the...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Deodatus Balile unaandaa vipindi vizuri na unapata wachangiaji wazuri ila wanapokuwa wakitiririka unawakatiza na kuchomeka maswali yasiyoendana na anachoongea mchangiaji, tafadhali kaka! Mfano ni...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wazee wa Aza boy mpoo? Hebu leteni stori wajameni tukumbuke tulipotoka!. ngoja mi nianze na stori za yule ticha anaitwa "mchwa". siku moja mchwa alimkuta jamaa anavuta bangi, kuona vile Mchwa...
0 Reactions
95 Replies
15K Views
wakuu naomba msaada wa taarifa juu ya bajeti ya wizara ya elimu na mafunzo ya ufundi inawasilishwa lini?????????? MAANA KUNA TETESI KUWA MATOKEO YA KIDATO CHA NNE NA CHA SITA 2013 YATATOLEWA...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Ndugu zangu wana Jf wote , mimi nimepitai taarifa ya tume iliyo undwa na waziri Mkuu kuchunguza matokeo mabaya ya mitihani ya taifa ya kidato cha nne mwaka 2010,ambayo serikali imeamua kuificha na...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
I am offering one (tuition free) scholarship for an interested person to study Bachelor of Science in Computer Engineering and Information Technology or Bachelor of Business Administration at the...
2 Reactions
2 Replies
5K Views
je ni kweli boom litapandishwa mwakani kutoka sh 7500 mpaka sh 9750/= napenda kujua tafadhali
0 Reactions
14 Replies
2K Views
I am EXPERY PETER SHIO, student at ST.JOSEPH UNIVERSITY IN TANZANIA. REG NO:097104042 /BE (ECE). fourth year 2012/2013. form four index no: 0042/0480/2006. i am a fourth year( seventh semester)...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Deodatus Balile unaandaa vipindi vizuri na unapata wachangiaji wazuri ila wanapokuwa wakitiririka unawakatiza na kuchomeka maswali yasiyoendana na anachoongea mchangiaji, tafadhali kaka! Mfano ni...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
samahanini wapendwa je form 6 wameshaanza kuomba mikopo,,,au kunahabari gani kuhusu hili naomba kufahamishwa,,,
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nawakumbusha wale wanategemea kuendelea kupokea grant/Loan msisahau kufanya application sababu deadline hiyo hapo bado siku 7. Usisahau kumkumbusha mwenzako si unajua hili lyf bila hicho kitu ni...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
UFAFANUZI KUHUSU KUPITIWA UPYA KWA MATOKEO YA MTIHANI WA KIDATO CHA NNE MWAKA 2012 | Print | Mnamo tarehe 03 Mei, 2013 Serikali kupitia Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Mheshimiwa Wiliam...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Wadau na wanajf Soft cpoy ya mitaala ya masomo ngazi ya cheti na Diploma kwa ajili ya usajili NACTE inahitajika.Masomo hayo yawe ya aina yoyote ya jamii ya social science ie Business related...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Sold iut
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Naomba kuuliza hivi tia wameshapeleka majina tcu kwa ajili ya kuuapply kupitia cas system au ni zengwe kama mwaka jana?
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Kuna watu wakipewa udaktari wa heshima wanautumia katika CV na kujitambulisha nao kila mahali kuwa wao ni ma Dr. Je hii ni sawa? Maana nasikia mara kwa mara rais wetu akiitwa Dr. kama mtu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…