Jamani naomben msaada nimeomba kusoma diploma ya clinical medicine,nina two ya 18 ya o-level,phy c,chem b,bios d,math b,na eng d.je maksi hizo naweza pata wadau
kuna majina ambayo yamekuwa rejected kweny vyuo walivyo watumia na hawatoi feed back watu wajue...elimu ya tanzania ni full stress...OOH LORD WATCH US THROUTH THIS
Jana ilikuwa siku ya kuripoti chuoni kwa first years Malimbe Campus-Mwanza.
Ilikuwa kama picha ya kihindi.
Gharama za accomodation hazikuweza kuwekwa wazi katika joining instruction, lakini...
jamani ndugu zangu mimi ni mmoja kati ya wliochaguliwa kujiunga na mount meru university lakini kinachonipa mawazo nikwamba hadi leo sijaiyona tarehe ya usajili wala tarehe yakuanza masomo , hivi...
wadau hawa nacte wana mpango gani.....vyuo nlivochagua vimetoa selection mie cpo...kimebaki kimoja tu ambacho ni N.I.T ambayo nlifanya chaguo namba moja na mbili...nikikosa apo ndo baaaas ntabeba...
nina furaha kubwa kuwa heslb watema majina ya waliokosa mkopo pamoja na sababu zao..nenda loan results utaona.Nashukuru mungu dogo kapata.kila la kheri wana ndugu
Wana JF, Nimesikia kuwa waliomaliza kidato cha nne kuanzia 2008 na kushuka hawapati mkopo na je ukifanya mtihani wa kidato cha sita kama PRIVATE CANDIDATES, mkopo unapata?
habari zenu wadau...nimechaguliwa NIT koz ya logistix n transport mngnt..nipo arusha,nackia kupata hostel chuoni ni ngum xana ukizngatia tumexhaguliwa wengi..so mwny uwezo wa kunisaidia khs...
Habari zenu Wakuu .. Nataka kuvusha mwaka wa Masomo.. Yaani Nisiende chuo nitakachopangwa mwaka huu na badala yake nifanye application upya Mwakani.. Jee bodi ya Mkopo na TCU Watanielewa?
Tunayo pongezi kubwa kwa vijana wote waliochaguliwa kujiunga na chuo kikuu Ardhi kwa mwaka wa masomo 2013/14. Chuo kipo jijini Dar es Salaam karibu na UDSM.
1. Majina ya waliochaguliwa yapo...