Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Je na wao wanaangalia kama freshners au wametengewa kivyao? msaada tafadhali..natanguliza samahani kwa usumbufu
0 Reactions
4 Replies
927 Views
Ndugu wana JF. Napenda kufahamishwa mwisho wa kupeleka barua za kubadilishana vituo mkoani kwa uhamisho wa walimu mwezi wa Disemba ni lini?
0 Reactions
2 Replies
3K Views
waungwana naombeni msaada wenu nijue nimepata asi;imia ngapi.
0 Reactions
7 Replies
10K Views
INDEX NO S0471/0152/2005,Naomba mniangalizie cim yangu chaji imeisha nimeweka line kwa mtu naomba mnijuze kwa no 0783569290 kwa sms.Nawategemea wanajf.ahsanten
0 Reactions
0 Replies
738 Views
JAMANI NAOMBA MNIANGALIZIE HESLB ME SIMU YANGU HAINA UWEZO INDEX NO:S0549/0217/2010 UNAWEZA KUNITUMIA KUPITIA NAMBA HII 0759824023;naomba xana wana jf mnisaidie ;
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nilisoma thread moja ya successful loan applcants na nataka kuuliza kuhusu hizo hela za mkopo ni tunazipata chuo pale pale ? kila mmoja ? au inakuaje wana JF
0 Reactions
4 Replies
2K Views
kwa aliyepo online muda huu naomba uniangalizie jina langu tafadhali
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kuna Kipindi katika kuperuzi peruzi kwangu nkakutana na hii site iitwayo MeetNawe Welcome , ilinibidi kuiangalia mara mbili mbili kuamini ni zao la vijana wa hapa hapa Tanzania. Pia nilishangaa...
0 Reactions
2 Replies
859 Views
naomba kujua kuhusu gpa kuanzia 1st class mpaka chini
1 Reactions
7 Replies
28K Views
Wanafunzi waliokuwa jkt waliambiwa watrudishiwa gharama zao za nauli walizotumia kwenda kwa kuangalia tiketi...matokeo yake hawajafuata tiketi wametoa kiasi pungufu na nauli aliyotumia...
0 Reactions
0 Replies
735 Views
Hiv ukipata sapu ama ukicarry g.p.a inapungua?? na hyo sapu na kucarry kunaweza kukasababisha usiajiliwe mapema ama usipate kazi kabisaaaaa! tuambizane wadau wa jf
0 Reactions
1 Replies
1K Views
  • Closed
Source: Intelijensia. Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu heslb wanatarajia kutoa majina ya wanafunzi watakaopata mkopo kwa msimu wa masomo 2013/14. Kinachosubiriwa ni TCU kuwasilisha...
5 Reactions
60 Replies
19K Views
Hand shake wakuu.... sijui ndio structure ya lifestile there at downtown universities, vijana with popular trends za mtoni hadi inatia mashaka.... i definately suggest that spanking at the...
5 Reactions
354 Replies
16K Views
Habar wan jf,,,hatimaye tcu wametoa majina ya wanafunzi waliokubaliwa maombi yao ya kuhama kutoka chuo kimoja kwenda kingine na pia wanafunzi waliokataliwa maombi yao,,,,,p'se tembelea website yao...
0 Reactions
19 Replies
6K Views
  • Closed
bodi inaomba radhi kwa usumbufu uliojitokeza kwa wanafunz wote,pili zile pesa walizopewa na serikali walijikopesha wenyewe kwanza xo baada ya faida kupata ndo na nyinyi mnafata ndo maana...
0 Reactions
35 Replies
8K Views
Nmesoma tangazo lao kwa 1st year na wanaoendelea kuhusu malipo ya direct cost na tuition fee wamesema mwisho n tar 30 sept las ivyo hawataruhusiwa kufanya usajili tar 12 nngeomba kujua je hzo...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Kwa mwenye majina ya waliochaguliwa udom kozi bachelor of science in health information sytem anipostie,tafadhali
0 Reactions
1 Replies
762 Views
Najua utajiuliza y nimeishukuru JKT, nimeishukuru JKT kwasababu baada ya JKT kuona wanafunzi wanstahili kwenda chuo ikasema wanafunzi waandike barua na hapo ndipo udhaifu wetu ulipojitokeza, mpaka...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wanajamii forums! Mie nimebahatika kumiliki kiescudo nomade toka mwaka 2010. Gari inachemsha sana hata ikiwa silensi pia gia hazijibadili. Naomba kwa wale tu mafundi wa gari za aina ya suzuki...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Back
Top Bottom