Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

naombeni msaada wadau je inawezekana polisi kujiendeleza kielimu?
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wadau naomba kufahamu mtu akisoma open university soko lake la ajira likoje? Nafikiria kusoma BBA with Finance hapo open university, msaada tafadhali.
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Katika hali isiyo kawaida mwanafunzi wa kidato cha tatu katika shule ya Sekondari Idodi amepewa adhabu ya viboko takribani fimbo 100 kwa muda wa saa tatu hadi kupoteza fahamu na baadaye kufungiwa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wadau wa jf nimetoka heslb katika kufuatilia mkopo,walichokisema ni kwamba wale waliokosea kujaza form zao na ni priority kozi ndio watakao angaliwa. Tukamuuliza walioandikiwa eligible but budget...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Chuo Kikuu ni Mahali ambapo Jamii yetu imekua Ikipaheshimu kutokana na Hadhi yake kielimu,Baadhi ya Wanajamii wamekua na Mtizamo chanya juu ya Kila Kifanyikapo Chuoni Kutokana na Hadhi yake...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Admission letter tiyari zimeshatoka,..
0 Reactions
1 Replies
900 Views
NAOMBA KUJUZWA NA ANAYEFAHAMU GHARAMA ZA KUSOMA MASTERS OPEN NA MCHANGUO WA ULIPAJI KWA AWAMU.(M.Ed APPS) NAOMBENI MSAADA WENU KTK HILO.
0 Reactions
0 Replies
843 Views
Za hapa jamani,mimi nina omba mnitajie vyuo vizuri kitaaluma vya uuguzi vya private plz msaada
0 Reactions
0 Replies
754 Views
wameniongezea mkopo nilikua nao kidogo sana!!big up to heslb
0 Reactions
48 Replies
3K Views
naomba msaada wa kubebwa udsm main campus.mimi ni mwanafunzi jinsia ya kike,anayeweza kunisaidia anipm....thanks in advance....
0 Reactions
0 Replies
619 Views
kama ambavyo mliweza kuona kwenye selection za udsm mbele ya matokeo ya o level waliindicate herufi A_K hzo ndo loan distribution ina maana kama wamekuandikia A ujue umelamba 100 B_90 C-80...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Jamani mimi ninaomba msaada wa kujulishwa silabasi mpya kwenye TAMTHILIA,RIWAYA,na USHAIRI ya kidato cha sita.ni vitabu vip vinahusika apo?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
anayejaua vitabu ambavyo naweza pata mawazo ya hao wazee anisaidia, au website gan ntakuta habari zao?
0 Reactions
8 Replies
2K Views
wanajamvi nilikuwa naomba msaada kujua kuhusu huu mkopo wa selikali kwa wanafunzi kupitia bodi ya mikopo ya elimu ya juu,eti ni kweli hela na rudhuku wanayopewa wanafunzi wa udaktari,engineering...
0 Reactions
1 Replies
905 Views
Kufuatia matangazo yaliyowekwa jana na burser wa chuo,first year wote waliopata mkopo wanahitajika kwenda kusaini ili wawekewe pesa zao za meals&accomodation,pia stationary.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Leo nikiwa mitaa ya departiment of agriculture engeneering nikataka kujua coz zilvyo,dah! Kiukwel n pagumu mfano:bioprocessing and post harvest engeneering first year wapo 45,2nd year=34 3rd...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Tanzania ni nchi mojawapo katika Afrika inakimbizana na ujinga. Sisi sote ni mashahidi wa haya, nasema haya kwa sababu zaman chuo kilikuwa ni kimoja tu yaani UDSM lakini siku hizi kuna vyuo...
2 Reactions
54 Replies
10K Views
A simple pendlum bob of mass200g is pulled sideways a horizontal distance of 30cm to a point A. If the length of pendlum is 50cm,calc( i) The p.e of the bob in this position(ii) max speed of the...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari wana jamvi,, naomba msaada kwa mwenye uelewa kuhusu hili,, mm nimemaliza Bachelor ya Computer science na nahitaji kufanya master ya Bussines Administration,, nni kinahitajika au naweza...
0 Reactions
1 Replies
900 Views
Amesema wanafunz 1,117 wa masomo ya kipaumbele wenye fomu zenye dosar, na wale kipaumbele ambao fom zao hazna dosari je?
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Back
Top Bottom