Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Hii imekuwa chemsha bongo kwa first year ya mwenge kwa tunaochukua statistics kuambiwa tutafute field ya kufanyia practice na ndo kwanza hata hatuna kitu kichwani!! Kwa mwenye uzoefu wa hii ishu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ndugu wanaJF Kwayeyote anayefahamu maneno yasemayo [It is teachers more than any other single group of people in a society who detrrmines the atitudes of..........«Julius Nyerere»] anisaidie
0 Reactions
0 Replies
791 Views
Ndugu wana jf!!! kwa walimu na wanafunzi, sasa unaweza kujiunga na academic site (Gigavia: Connecting people in a giga way!)... faida ni nyingi sana, 1. mwalimu anaweza akatengeneza darasa na...
0 Reactions
0 Replies
873 Views
naomba kusaidiwa maswali haya Describe the following The sun in the atmosphere The moon in the atmosphere stars in the atmosphere
0 Reactions
0 Replies
1K Views
sitaki kuamini Tz imefirisika kiasi cha kushindwa kujua ni jinsi gani ya kuboresha elimu ili kuwa na wahitimu wenye ushindani (competitive) na badala yake inaamua kuweka mazingira yatakayo mfanya...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
heshima mbele wadau. kwa wale waliosoma shule hii ya mpwapwa sekondari mtakumbuka mengi sana mkisikia jina hili.hakika nilijifunza mengi sana.kama uliwahi kupita shule hii sema kitu tafadhali...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Big result(kwa maana ya matokeo makubwa) ama taifa linataka Elimu bora kwa maana ya kwamba ya mwanafunzi anaepata matokeo makubwa (big result ya kwenye cheti) anaupeo wa kiasi gani wa kufanya...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
The Muslim University of Morogoro (MUM) has become the third higher learning institution to launch Chinese language programmes expected to take off in the 2013/14 academic year. Muslim...
0 Reactions
15 Replies
5K Views
Habari, Nimekuwa nikiona post, comment hapa Jf na wakati mwingine Sms nikitumiwa na watu mbalimbali nimegundua kuwa watu hawajui kutofautisha maana ya neno Mungu au MUNGU au Bwana au BWANA na...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Jamani muda wa lunch unakaribia sana kwa watu wa maofisini maana tunapewa saa moja kuanzia saa saba mpaka saa nane kwa ofisi zilizo nyingi, sasa kuna kitu huwa kinanitatiza mimi kama mfanyakazi...
3 Reactions
10 Replies
2K Views
Mfumo na mkakati wa kuongeza idadi ya wanafunzi ili kujaza madarasa katika shule za sekondari; mfumo ambao unashadidiwa na kile kinachoitwa "BRN" imeanza mapema kuonekana. Matokeo ya darasa la...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Stationary kubwa arusha nisaidieni, natafuta rag papers
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Ndugu wazazi wenye watoto makongo sec.school hali ya shule ni mbaya maana mpaka sasa shule imefilisika na walimu hawajalipwa mshahara hivyo wamegoma na kufanya watoto hasa A'LEVEL&FORM I na...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Nimesumbuka 52 days kubadili cozi imeshindikana,until nimefkri kupost pond mwaka...wewe ukiwa kama grt thinker jf unanishauri nini?
0 Reactions
13 Replies
2K Views
If you are looking for a full-fledged mathematics teacher to mentor your students in O-level or A-level, please send me a private message.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kwa ghafla sana na pasipo maandalizi wizara ya afya imebadilisha kiasi cha ada ambapo kwa ngazi ya cheti tu ada kwa mwenye bima ya afya ni 880,000 kwa asiye na bima ni 930,000 watoto wa wakulima...
0 Reactions
1 Replies
958 Views
Katika mitihani inayoeendelea ya kidato cha nne walimu wa kutoka wilaya ya muleba wanaendelea kusimamia mtihani huo kwa manung'uniko ya hali ya juu kwani mpaka sasa hawajalipwa stahiki zao za...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
naomba contact za mkuu wa chuo cha uuguzi korogwe, same, mbulu na kondoa kwa mwenye nazo
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Jamani majibu yametoka ila kuna list ya rizevu wana maanisha nini maana mimi sielewi,naombeni msaada
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakubwa naomba msaada wa website ya matokeo ya darasa la saba tafadhari
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Back
Top Bottom