Naombeni kujuzwa kiwango cha ada wanachotakiwa kulipa wote walochaguliwa na wizara ya afya kwa ngazi ya diploma na certificate tafadhali ikiwezekana na mahitaji ya muhimu sana chuoni.
bodi ya mikopo imetangaza kuwaonea huruma wale ambao hawajapata mkopo kabisa kwa kuwapa pesa ya accomodation na stationary.wadau hivi ni kwel au wanatupa moyo tu
Habari zenu wandugu,
Naomba nifaamishwe km udom wamemliza usaili kwa watu wa masters wa education na kama wameanza kusoma kwa wale wa fultym na kama je nikitaka nafasi saiv nitaweza kupata kwa...
Naibu Waziri wa Elimu, Phillip Mulugo
SERIKALI kupitia Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi imekunjua makucha yake kwa kutangaza kuvifuta vyuo 10 ambavyo havikusajiliwa na Baraza la Taifa la...
Tume ya Pinda yabaini madudu ya kutisha mtihani wa kidato cha Nne mwaka jana.
Uchunguzi waonyesha masomo ya sayansi yalihitaji saa sita kufanya somo moja.
Asilimia 41% ya walimu waliofanyishwa...
Wakuu 2saidiane mawazo hapa hasa kwa sisi ambao tulikua tunataman kusoma koz za afya lakn mwisho wa siku 2meachwa na vigezo tunavyo. Je, Private bado kuna chance?
bodi ya mlkopo imetangaza kuwaonea huruma wale ambao hawajapata mkopo kabisa kwa kuwapa pesa ya accomodation na stationary.wadau hivi ni kwel au wanatupa moyo tu
habarini wanajamvi....
kusema cha ukweli mi nimepata chance mabbo host. bt mazingira na kila kitu cha uku... vinanizingua..
so kwa yeyote aliyepata m.campus na angependa au anatamani kuhamia...
Wadau hivi wizara ya afya inaweza kutoa majina ya waliochaguliwa kujiunga na vyuo ktk ngaz ya diploma na cheti,wiki ijayo?au bado sana?mwenye tetesi kuhusu hili naomba atujulishe please!
Niliomba muhimbili diploma sikuchaguliwa,niliomba wizara hawajanichagua,nimejaribu kutuma maombi ya pili muhimbili private sponsership form 4 physics C,Biology C,chemistry C na form 6 physics...
Habari !
Hii fani kwa hapa Tanzania nafikiri vyuo vinavyotoa ni ATC kwa ngazi ya Diploma na NIT kwa ngazi ya degree/
Naomba ufafanuzi wake kuhusu soko lake la ajira kwa hapa kwetu Tanzania.. na...
Kumeibuka posts nyingi za kuichafua udsm kwa fujo sana.ikumbukwe kua hata hao wataalamu wavingine ni mazalia ya udsm.Ubora wa wataalam upo vilevile.kinachoweza kutiliwa shaka ni wadahiliwa mana...
Jamani nijuavyo mimi ni kwamba Shahada (Digrii) zinatunukuwa na Vyuo Vikuu pamoja na Vyuo Vishiriki vilivyo chini ya Vyuo Vikuu husika lakini nimekuwa nikijiuliza ni kwa nini 'Taasisi ya Usimamizi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.