DKT Hamisi Kigwangalla atakuwa Kesho Mwanza Kuanzia Saa 4 asubuhi kwa Ajili ya Mdahalo na wanafunzi wa Chuo cha Mtakatifu Agustino Nyegezi Mwanza,
Mada ni :-
MAPINDUZI YA MARA YA PILI AFRICA:-...
NGOTE AND NGAIZA TUITION CENTRE.
Pre-form five program DSM-kariakoo-Mchikichini.
_______________________
Advance- Chemistry, Physics, Mathematics and Biology.
______________________
WALENGWA-...
Hivi wanajanvi chuo kikuu cha Dodoma ni cha serikali au cha mtu binafsi? Maana miaka mitatu mfululizo wanafunzi wanao hitimu UDOM wanadhulumiwa pesa za majoho. Tangu 2011-2013. Mwaka jana...
TANGAZO LA SKOLASHIPU ZILIZOTOLEWA NA SERIKALI YA INDONESIA KWA TANZANI
A KWA MWAKA 2014/2015
Serikali ya Tanzania imepokea mwaliko wa Skolashipu kutoka...
NGOTE AND NGAIZA TUITION CENTRE.
Pre-form five program DSM-kariakoo-Mchikichini.
_______________________
Advance- Chemistry, Physics, Mathematics and Biology.
______________________
WALENGWA-...
Wana JF, mimi ni mwajiriwa wa serikali! Nina mkopo wa tpb tangu mwaka jana, mikopo ambayo waajiriwa hudhaminiwa na mwajiri! Mwaka huu nataka niende kufanya Msc (ughaibuni), kwa mazingira ya...
MAZINGIRA:
CHANGAMOTO KWA VYUO VIKUU KUTOA KIPAUMBELE MAFUNZO YA MAZINGIRA, KUTUMIA MTAALA ENDELEVU
"Asilimia 80 ya watu waishio vijijini wanategemea sana maliasili ya mazingira. Na maisha...
Habari wana JF,
Mimi ni mtaalam wa lugha ya alama na mambo ya ukalimani kwa viziwi hapa Tz.
Kwa yeyote anaeendesha taasisi,semina,warsha au event yeyote na anataka kuwashirikisha watu wenye...
Wadau mimi nategemea kufanya mitihani hiyo mwezi may mwaka huu hivyo basi natafuta watu waku-discuss nao.
Kama upo Mwanza mjini tuwasiliane kwa kupitia link hii tuone tunayaanzaje masomo mapema...
hili suala linakua gumu kidogo kulielewa kwasababu kuna education for liberation na education for domestication!!!wanajamvi na mchango wenu kwa mwenye uelewa na hili jambo
Amani kwenu wana JF na wadau wote wa elimu! Binafsi nikiwa ni mdau mmojawapo wa elimu ninaiomba serikali hususa wizara ya elimu na mafunzo ya ufundi au TAMISEMI kuangalia kwa upeo nzuri nafasi ya...
Ni wiki ya pili tangu shule za sekondari mkoa wa kigoma zifunguliwe,ukitembelea shule nyingi katika halimashauri za kigoma hazina wanafunzi wa kidato cha tatu, ukifuatilia zaidi utaambiwa...
Ndg wanajamvi naamini humu wamo walimu - kwa taaluma. Naomba kuuliza kwanini wanafunzi wa kuanzia darasa la I hadi la V wanafundishwa kuwa namba ndogo haiwezi toa namba kubwa?
Mfano; 2-6 =...
Hichi chuo kilichopo Mbezi, st joseph
1)Uchaguzi wa wanafunzi kuchagua rais wao, mawakala, wenyeviti wa tume ya uchaguzi walikuwa walimu wa chuo (wahindi) na sio wanafunzi.
2) Huruhusiwi kwenda...
nilichaguliwa course ya bsc in biology, nipo mwaka wa pili lakini nimefanya maamuzi yangu nimeona bola niache chuo alafu ni apply tena course nyngne ninayoipenda for academic year 2014-2015...
Sakata la ubadhirifu Wa hela chuo cha ualimu Korogwe limeibuka upya.
Hatua hiyo imekuja baada ya wazabuni kugoma kusambaza chakula cha kuwalisha wanachuo.
Aidha sakata hili liliwahi kuibuliwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.