Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Najivunia kusoma shule ya Highlands Sec. Iliyopo Irina Mjini karibu na 7 7, kama na wewe umesoma pale, tafadhal ningependa tufahamiane hapa.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Utafiti....uliofanywa na wataalamu wengi unaonesha watu wengi ambao wapo maofisini na hufanya vizuli na hukubalika......kutokana na vyuo hivi kutoa watalaamu katika fani hizi ndio wanaofanya...
2 Reactions
63 Replies
14K Views
Nimesubiria saana! nkajua labda januar nayo ndohyo inakata, walsema wanasubir kibal kutoka u2mish kuanzia FEBRUARY 1 - MARCH 30, km cyo kurpot mwez wa 4 hapa cjuii!.... mfano zkatoka march 15 we...
0 Reactions
16 Replies
4K Views
Hivi punde tu katika kipindi cha Nipashe cha Radio One Stereo, Meya wa Manispaa ya Kindondoni Yusuf Mwenda, amekiri katika mahojiano na mwendeshaji wa kipindi hicho kuwa Shule ya Msingi ya...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Hii sasa ni fedheha katika taasisi ya Umma. Kuna ndg yangu amepewa promotion hapo na kusisitiziwa iwe siri yake maana yeye amependelewa tuu na wenzake waliomaliza shule wote wameachwa, kwa hiyo...
0 Reactions
45 Replies
6K Views
Wabaya wa Uongozi wa Chuo huhamishiwa huko kama adhabu kwa kuwa wanahoji ufisadi unaofanyika. Hata kama watoto wako shule hupewa barua ghafla ya kutakiwa kuhamia Zanzibar mara moja. Kama unasoma...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Vyuo vya ualimu Tanzania vimefanywa sehemu ya Mkurugenzi wa elimu ya ualimu ndugu Bakari Issa kuvuna hela kinyume na taratibu na maadili ya kazi. Aidha ndugu Bakari Issa amewateua wakuu wa vyuo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
kwakweli hata kama mambo yamebana sana na walio wengi hawajui course work zao hadi leo ijumaa na jumatatu Ue ianze,ni wakati ambapo kila mmoja anayeguswa kuomba kwaajili ya jambo hili afanye...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari wana JF. Napenda kujua wapi nitapata chuo hususani nje ya nchi ambapo nitasoma Masters ya Engineering Management. Kama kunamtu anaweza kunipatia link naomba anionyeshe nikiwa bado natafuta.
0 Reactions
2 Replies
850 Views
Watanzania tuinue viwango vya elimu kwa kigezo cha ubora pia na si wingi wa wanafunzi wanaojiunga nakuhitimu kiwango fulani cha elimu. Haina maana yoyote kuwa na wahitimu wa kidato cha nne...
0 Reactions
1 Replies
972 Views
Habari wanajamii, naomba mwenye kufahamu namna ya kupata chuo na mfadhili kusoma malaysia anisaidie, natamani kusoma malaysia ila uwezo sina, nina degree ya community development nataka nifanye...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari wanajamii, mwenye uwelewa jinsi ya kupata mfadhili na chuo malasia tafadhali naomba msada wako, nina degree ya community development na natamani nikasome masters malaysia ila uwezo sina...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Scholarship for Tanzanians
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wahadhiri wengi wa vyuo vikuu siyo waalimu kitaaluma. Wengi hupata fursa ya kufundisha vyuo vikuu kwa kuwa walipata GPA ya first class au kupitia uzoefu wa kazi kulingana na taaluma yake...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Wadau Naomba kuuliza inakuwaje Mkoa wa pwani matokeo ya Darasa la saba hayajatoka hadi hivi sasa hali shule za DSM matokeo yalishatoka, tokea mwanzoni mwa January. je kuna uzembe wa utendaji au...
0 Reactions
2 Replies
6K Views
The Tanzania Communications Regulatory Authority (TCRA) in extending its effort of promoting usage of ICTs by designated people and also implement WSIS action line 2: “Information and...
0 Reactions
0 Replies
714 Views
If you, or someone you know, is interested in applying for this amazing initiative, then visit the Regenesys Foundation website at www.regenesysfoundation.org for more information. Applications...
0 Reactions
0 Replies
945 Views
wakuu, katika almost shule zote hua hawakosekani wale walimu wa kali balaa ambaye ukiingia kwenye 18 zake ni lazima ueleze. kwa mfano mimi shule ya msingi lugalo niliposoma kulikua na...
1 Reactions
110 Replies
13K Views
JAMANI KUNA HII KOMBINESHENI; CBM(chem,bio,maths) NI KATI YA ZILIZOONGEZWA A-LEVEL !!! JE NAWEZA KUCHAGULIWA KUSOMEA UDAKTARI? AU med.doctor LAZIMA NCHUKUE PCB?? MWENYE IDEA NISAIDIE.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Shirika la Umoja wa Mataifa la elimu, sayansi na tamaduni UNESCO limesema watoto milioni 250 wa shule ya msingi duniani kati ya watoto milioni 650 hawajui kusoma na kuandika na hata kufanya...
0 Reactions
0 Replies
823 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…