Fahahu hivi ndio vyuo bora ambao wanafunzi wake hufanya vizuli maofisini na kozi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Fahahu hivi ndio vyuo bora ambao wanafunzi wake hufanya vizuli maofisini na kozi

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by C programming, Oct 28, 2012.

 1. C programming

  C programming JF-Expert Member

  #1
  Oct 28, 2012
  Joined: Nov 11, 2011
  Messages: 2,248
  Likes Received: 1,051
  Trophy Points: 280
  Utafiti....uliofanywa na wataalamu wengi unaonesha watu wengi ambao wapo maofisini na hufanya vizuli na hukubalika......kutokana na vyuo hivi kutoa watalaamu katika fani hizi ndio wanaofanya vizuli tukianza

  jina la chuo fani sifa za graduate maofisini katika idara

  1.T.I.A.........CHUO BORA KWA ACCOUNTS AND PROCUREMENT

  2.UDSM.......CHUO BORA KWA LAW,HR,POLITICAL SCIENCE,STATISTICS,EDUCATION,BCOM AND ENGINEERING

  3.I.F.M..........CHUO BORA KWA BANKING AND FINANCE


  4.D.I.T...........CHUO BORA KWA ENGINEERING EXPCEPT COMPUTER ENGINEERING

  5.MUHAS AND KCMC.......PHARMACY AND MEDICINE

  6.LEARN IT.......CHUO BORA CHA INFORMATION TECHNOLGY

  7.ARDHI UNIVERSITY.........CHUO BORA KWA ARCHETURE AND URBAN PLANNING

  8.N.I.T AND VETA.............DRIVERS AND AUTOMOBILE ENGINEERING


  9.MAGOGONI.......... secretarial COURSE........


  10.madini mining and minerals hapa ndipo vijana hufanya vizuli  12.BANDARI COLLEGE ....... clearing and forwading hapa vijana toka hichi chuo hapata
  and port mangement sana shavu sana bandarini


  13.d.m.i water transporation mabahalia wengi kutoka hiki chuo
  hufanya vizuli


  14.i.t.a tax administration hichi ndio chuo pekee t.r.a hupenda
  kuchukua vijana wakafanye kazi


  15.civil aviation air hostels,flight operators
  training cargo handling
  16.D.S.J......... journalism hiki ndio chuo ambacho hutoa graduates
  wazuli kuliko vyuo vyote tanzaniaa katika
  tasnia ya habali


  17.muccobs corperative hapa ndio kidogo cooperative subject
  kuhusu vyuo vingine...........sikuwahi kupata sifa zao wakiwa maofisini ....lakini hivi ndivyo vyuo pekeeee ambavyo ukisoma hizi fani unakubalika kuliko chuo chochote
   
 2. NingaR

  NingaR JF-Expert Member

  #2
  Oct 28, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 2,836
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  me kuna baadhi ya vyuo hapo sivifahamu kabisaaa
   
 3. ndupa

  ndupa JF-Expert Member

  #3
  Oct 28, 2012
  Joined: Jan 25, 2008
  Messages: 4,452
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  wenda una mawazo mazuri...lakini kwa hii lugha ulitumia hakika umepotosha maana na dhumuni la uzi wako!! LUGHA MBAYA....KAJIPANGE!!!!
   
 4. MKATA KIU

  MKATA KIU JF-Expert Member

  #4
  Oct 28, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 2,118
  Likes Received: 862
  Trophy Points: 280
  Vipi marketing, procurement, na BBA zote za mzumbe? Nimefanya BAF mzumbe but BBA logistics, marketing and enterprenurship za mzumbe ni kali sana as wana interaction nzuri sana na walimu as wapo wachache sana,, mafano mwaka wangu watu wa procurement walikuwa 20 tu darasan kwao kias cha walimu kumjua kila mtu na uwezo wake, na hata assigment na presentations wao wanafanya individual hakuna kutegeana,,, also baada ya kuajiriwa nikagundua uwezo wa kichwa cha mtu ndo muhim kuna watu wamesoma udom, saut, tumaini etc but they are too good kwenye utendaji kuliko hata waliosoma kwenye ivy league universities
   
 5. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #5
  Oct 28, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,490
  Likes Received: 133
  Trophy Points: 160
  Hebu rekebisha heading yako,kama na wewe ni mhitimu wa mojawapo ya vyuo hivyo basi tuna kila sababu ya kutilia shaka ubora huo kwa kuangalia uandishi wako
   
 6. bibliography

  bibliography JF-Expert Member

  #6
  Oct 28, 2012
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 547
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 45
  hujafanya utafiti bado unaonekana unakurupukia majina tu!mfano hiyo numero 14 hakuna kitu kama hicho ingawa ni chuo chao lakini uliza watu wote wanaofanya kazi TRA hakuna anaetokea ITA majority ni IFM na CBE tna usiendelee kutudanganya hii sio facebook
   
 7. h

  hippocratessocrates JF-Expert Member

  #7
  Oct 28, 2012
  Joined: Jul 1, 2012
  Messages: 3,613
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Hivi mkuu ulipitia hata hiyo title ya thread?..,maana kwa hiyo tu kuna kui-discredit sana!!Halafu huo uandishi? nina wasi wasi nayo!

  -Then nani walifanya huo utafiti?? Lini na kwa muda gani?
   
 8. mtemiwaWandamba

  mtemiwaWandamba JF-Expert Member

  #8
  Oct 28, 2012
  Joined: May 2, 2011
  Messages: 530
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  Nitarudi ............
   
 9. mtemiwaWandamba

  mtemiwaWandamba JF-Expert Member

  #9
  Oct 28, 2012
  Joined: May 2, 2011
  Messages: 530
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 45
  Standard Two at Mtakuja Primary School.
   
 10. kbosho

  kbosho JF-Expert Member

  #10
  Oct 28, 2012
  Joined: Jun 4, 2012
  Messages: 12,154
  Likes Received: 2,658
  Trophy Points: 280
  duh vp walio soma SUA, KAIRUKI, KCMC,S.T AGUST,ST.JOHN'S,MIPANGO,...ww mbna umesoma kati ya vyuo ulivyo vtaja kuanda umechmsha, au ndo mbulula.
   
 11. Mgumu04

  Mgumu04 JF-Expert Member

  #11
  Oct 28, 2012
  Joined: Jul 15, 2011
  Messages: 1,136
  Likes Received: 174
  Trophy Points: 160
  naulizia udom vipi hapo
   
 12. D

  DR. RICHARD Senior Member

  #12
  Oct 28, 2012
  Joined: Jun 24, 2012
  Messages: 127
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Yaani hizi ndo janjajanja colleges, yaani uandishi poor, thread yenyewe hovyo na nahisi ni yakwako kwani source yake haijitosherezi, mi nadhani nawe ni walewale umeamua kuja kivyako
   
 13. Jodoki Kalimilo

  Jodoki Kalimilo JF-Expert Member

  #13
  Oct 28, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 7,189
  Likes Received: 693
  Trophy Points: 280
  Kumbe tunasoma ili tufanye kazi maofisini tu, itabidi ufanye utafiti mwingine wa kuonyesha wanaofanya vizuri uraiani
   
 14. O

  Old Member (Retired) JF-Expert Member

  #14
  Oct 28, 2012
  Joined: Sep 29, 2012
  Messages: 3,452
  Likes Received: 50
  Trophy Points: 0
  Huo ni utafiti wa wapuuzi kama yeye na wewe fanya utafiti wako.
   
 15. MWILI NYUMBA

  MWILI NYUMBA JF-Expert Member

  #15
  Oct 28, 2012
  Joined: Jun 18, 2012
  Messages: 819
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  Samahani mtoa hoja naomba utuletee ripoti kamili ya huo utafiti unaosema umefanywa na wataalamu wengi!
   
 16. Nokla

  Nokla JF-Expert Member

  #16
  Oct 28, 2012
  Joined: Aug 12, 2012
  Messages: 2,121
  Likes Received: 99
  Trophy Points: 145
  Wa UDOM mtuache 'TUPUMUE'
   
 17. Mad Max

  Mad Max JF-Expert Member

  #17
  Oct 28, 2012
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 3,329
  Likes Received: 171
  Trophy Points: 160
  corrections: ni vizuri sio vizuli.
  okay mkuu umesomeka, vipi umegumia kigezo gani kaka? umewachunguza graduates walio maofisini au maeneo ya kazi au umetumia ukongwe wa vyuo au? tunajua samaki mmoja akioza wote wanatupw, may be kuna mfanyakazi mmoja ulimuona mzembe ukauliza background yake ukaambia alisoma chuo flani, ndio we ukachukulia hiko chuo ni vilaza. mie sijakubaliana na list yako ata kidogo.
  haya chuo kama udom(i am currently study here) bado kichanga coz kilianza 2007 na its first graduates walikua 2010, je umewachunguza wote? vipi umekiweka ktk nafasi ya ngapi kutokana na huyo list yako ya kukatishana tamaa?
  udsm, chuo kikongwe na kinaaminika kua ni bora kuliko vyote Tanzania, vipi kina college nyingi, wewe ume base ktk nn?

  hasira.:mad::thumbdown::banghead::confused::what::screwy:
   
 18. Mad Max

  Mad Max JF-Expert Member

  #18
  Oct 28, 2012
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 3,329
  Likes Received: 171
  Trophy Points: 160
  asante. hatuna mpango wa kuingia ktk mashindano yanayo andaliwa na wataalam ma selfish,
   
 19. B

  Boniphace17 Senior Member

  #19
  Oct 28, 2012
  Joined: Jul 19, 2012
  Messages: 102
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Pumba tupu!
  Inakubidi urudi chekechea.
   
 20. E

  EJay JF-Expert Member

  #20
  Oct 28, 2012
  Joined: May 21, 2012
  Messages: 694
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  naunga mkono hoja.
   
Loading...