Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Wana JF naomba kufahamishwa! Nimekuwa nawaza sasa ivi magarikaribu yote sokoni ni AT, sasa kwanini driving schools zinafundishia MT? na huku mtu ukifuzu unaendesha AT?
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Wakuu naomba kuweka wazi kwamba hapa tanzania kuna vyuo vya kata hii ni kutokana na ukweli kwamba vinachukua wanafunzi wabovu ,hamna wahadhiri wa kutosha n.k vyuo vyenyewe ni hivi hapa 1.SAUT...
2 Reactions
190 Replies
32K Views
Wadau naomba tushirikiane kutoa adress za vyuo wanavyoweza kuapply form four kulingana na perfomance zao plz take it serious na ikiwezekana andika na course offered na pia dadavua kama wanatoa kwa...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Habari zenu wadau? Mimi ni mwalimu mwajiriwa wa serikali idara ya elimu sekondari walaya ya Ukerewe mkoani Mwanza.Nahitaji kubadilishana kituo cha kazi na mwalimu kutoka mkoa wa Morogor na...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wakuu mwenye kujua hiyo kamusi inapopatikana
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wakuu nahitaji dictionary kilatini to Kiswahili au English ntapata wapi?Naomba anayejua anijuze
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hv pesa ya kujikimu inakuwa kiasi gani kwa mwlm wa grad A, Stashahada, & shahada? na je kunakurudishiwa nauli yako? ningependa kujua wadau? please
0 Reactions
12 Replies
5K Views
Tanzania ufisadi hautaisha kwa sababu kila mtendaji serikalini anajiangalia yeye na familia yake. Huwezi kuamini lakini ni ukweli uliodhahili kuwa walimu walioajiriwa tangu 2011 katika halmashauri...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Yeyote anaejua kuhusu alama zitakazohitajika kujiunga na masomo ya uwalimu kwa wale waliye maliza form iv mwaka jana 2013. naomba mnijulishe.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Mimi mwalimu sec mbinga natafuta wakubadilishana wa njombe,arusha Moro au dar 0764902984 .
0 Reactions
0 Replies
985 Views
Wanaosubiri ajira kuriport vituo vya kazi siku ya wajinga duniani.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mamalaka ya Mapato Tanzania (TRA) Mamalaka ya Mapato Tanzania (TRA) Mkoa wa Mbeya, imesema shule za binafsi, vyuo vikuu vya binafsi na taasisi yoyote isiyokuwa ya kiserikali zinapaswa kulipa...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Wakuu tunawaomba mtujuze, kwa sisi Walimu wapya watarajiwa ni vitu gani muhimu ambavyo vitatakiwa tuwe navyo mara tutakaporipoti kwa Wakurugenzi wa Halmashauri tutakazopangiwa na pia katika shule...
0 Reactions
21 Replies
6K Views
Jana nilimpa taarifa moja wa walimu watarajiwa kuwa ajiandae wataenda kuripot kazini tarehe moja April, responce yake "MUNGU WANGU, NTAWEZA KUFUNDISHA KWELI MIMI? HAPA SINA A WALA B" Sasa wewe...
0 Reactions
39 Replies
6K Views
Mimi ni mwanafunzi mwenye matarajio ya kusomea architecture mda si mrefu Tafadhali naomba mchango wenu wakuu ..kiroho safi 2
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wadau, chuo kikuu cha sayansi na teknolojia Mbeya kimeanzisha kozi mpya katika ngazi ya DIPLOMA katika mwaka wa masomo wa 2014/2015. Kozi hizo ni :- 1.Food science and Technology...
1 Reactions
1 Replies
3K Views
Wakuu naweza kupata Wapi taarifa ya tume ya Makweta ya Makweta1982?
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Ninatafuta chuo cha afya/Clinical medicine cha private.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakuu habari za majukumu, ambaye anafahamu namna ya kupata scholarship za Russia kupitia hii kitu inayoitwa RACUS anipe details hasa kwa scholarship za Masters of MEDICINE/ DENTISTRY. Na guarantee...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
anaye fahama chuo kinachotoa kozi/mafunzo ya bodyguard afrika mashariki
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Back
Top Bottom