Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Wapunguziwe mishahara wakifelisha wanafunzi :thumbup:
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Natafuta mwalimu tutakaye badilishana naye aye wilaya ya ROMBO,me niende wilaya ya HAI Tuwasiliane wandugu
0 Reactions
1 Replies
1K Views
habari za usiku walimu wenzangu,kwanza kabla ya yote napenda kumshuru mungu na serikali kwa ujumla kwa kufanikisha swala la ajira 2014,kinachoniumiza kichwa nimepangwa sehemu ambayo sijawahi hata...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
MWL YUKO MBOZI MBEYA IDALA SEKONDARI ANATAFUTA MWL WA KUBADILISHANA ALIYE DAR,CHALINZE NA MBALIZI,aliye tayari wasiliana Cont;-0766335128
0 Reactions
0 Replies
841 Views
habari zenu wapendwa naomba msaada wa kunitumia vitabu / topic za advance form five kwa combination ya, hkl . email yangu ni . nguvumalimedson@gmail.com natanguliza shukran ... nikitumain kupata...
0 Reactions
0 Replies
746 Views
habari zenu jamani.tafadhari kwa wale walimu wazoefu kazini.naomba mnijuze kama ni lazima kufungua bank account tawi la nmb na vipi ukifungua tawi lingine tofauti na Nmb huwa hawakubali kwa sisi...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Wana jf poleni na mihangaiko na siku nzima ya leo. Naomba kuuliza mwenye ufahamu wa gharama ya postgraduate ya ualimu ni kiasi gani serikalini.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Jamani hivi subsistence allowance ya walimu wa Grade A wanaoenda kuripoti tarehe moja ni Tsh ngapi kwa siku?
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Jamani nilkua naomba kufahamishwa gharama za kusoma CERTFICATE kwa mwaka
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Februari mwaka huu, Baraza la Mitihani Tanzania (Necta), lilitangaza matokeo ya mtihani wa kidato cha nne wa mwaka 2013. Katika matokeo hayo, wanafunzi 151,187 walipata daraja sifuri, sawa na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mim n mwalimu wa grade A ngazi ya chet halafu sina credit tatu.Hivyo nkitaka kujua njia bora ya kujiendelaza kielimu kutafuta credit kwanza? Au kuna njia bora tofauti na hyo naomben msaada wenu...
0 Reactions
32 Replies
14K Views
Habarini wana jf, naomba mawazo yenu ya khari na mali kuhusu changamoto hii ya ombi la pasipoti, kwani dhumuni langu la kuomba pasipoti ni kujisajiri katika international english language testing...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
habali wandugu, niwapi?, naweza kupata huduma ya kufundishiliwa mwanangu masomo ya ziada hasa kipindi hiki cha sikukuu ya pasaka ambapo amekuja kwa mapumuziko na iwe ni mazingira mwanza mjini at...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wana JF naomba munisaidie , nina mdogo wangu anataka kusoma mambo ya FINANCE sasa anajaribu kudodosa ni chuo kip kizuri yaan baab kubwa kwa cozi za FINANCE ? me nmemwambia ajarib IFM
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Mafahali wawili wakigombana.............. takribani wiki moja imeshapita tokea ajira za walimu zitangazwe,na kilichotokea ni kutokupangiwa vituo vya kazi kwa wahitimu wa St john-Dodoma...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Hapa ndipo mishahara hewa inapoanzia. Nchi yetu bado sana hii. jamaa ana shahada ya ualimu, baada ya ajira kutoka imeonekana kuwa jina lake lipo zaid ya mara moja ikiwa...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Nimekuwa nikijiuliza ni kwa nini Serikali inalazimisha Wanafunzi wavae Sare za Shule ambazo zinauzwa na huku ikijua wazi kwamba Wananchi wake wengi hawana hata pesa ya kununua Chakula, sembuse ya...
0 Reactions
48 Replies
8K Views
May you help me this question Describe the link between public administration and development management.
0 Reactions
3 Replies
850 Views
Wadau poleni sana na kazi. Mi natafuta shule ya kusoma iwe private au govement nzuli yenye kombi ya egm. Kama zipo naomba unijulishe na kama ni za prvte naomba unielekeze japo sehemu ya kuzipata...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Back
Top Bottom