wakati walimu wengine wapya katika halmashauri nyingine kama ilemela,kigoma mjini,kakonko nk..wakiwa wamepew pesa ya kujikimu ya siku saba. Walimu wapya wa bukoba mjini wamepew pesa ya siku tano...
WIZARA YA AFYA JANA TAREHE 20/2/2012 IMETOA TANGAZO LA NAFASI ZA MASOMO MBALI MBALI NGAZI
Tangazo la kozi za Afya - 2012 Page 1
JAMHURI YA MUUNGANO YA TANZANIA
WIZARA YA AFYA NA USTAWI WA JAMII...
Hello guys wana jf
naomba kupewa msaada kama kuna mtu anapafahamu kigoma-manicpal ya buhongwe
mim ni mwl.nimepangwa huko kikazi kama kuna mwl.ameshareport huko please naomba tuwasiliane...
Kama kunamtu yeyote ambaye anafahamu au anashughulikia masuala ya scholarship naomba anisaidie kwa kunipa maelekezo kupitia email yangu; aloycemsimbe@nokiamail.com
Wizara ya Elimu Tanzania, imekuwa ikichimba kaburi la kuizikia elimu kwa muda mrefu sana! kwa kutosikiliza madai ya walimu, kutozipatia shule vitabu mujarabu vya kiada na ziada, kutokujenga...
Hali ni mbaya saana hususan kwa mwaka wa pili, course kama THT 453 na THT 454 mambo hayaeleweki,kama imefikia hatua ya kuchukua waalimu wa sekondari kufundisha chuo kikuu mbona majanga? kuna...
Hi, wana Jamii Forum
Natumainia wengi wetu tunaendelea na jukumu hili la ujengaji wa taifa. Kuna lugha zimekuwa zikitumika sana humu kwenye forum hii kwamba wale GRADUATE wenye first and upper...
E=35-44,D=45-54,C=55-64,B=65-74,A=75-84,A+=85-100.Kama nilivyokua nimesema ktk thread yangu ya awali kuwa alama "S" imefutwa.Lakin point za kujiunga vyuo vikuu zipo vilevile...
Walimu wa masomo yafuatayo wanaitajika kwa haraka sana. Civics , History , Geography,Kiswahili, Mathematics, Physics na Chemistry .Kituo cha kazi kipo manispaa ya Bukoba mkoani Kagera . Shule...
Daaah! Baada ya kufurahia mapokezi yote toka halmashauri mmmmh pozi limeniisha baada ya kufika kituoni!....... Mama wee! kweli na miaka yangu 3 na mavyeti yangu ng'aring'ari na urembo wangu huu ...
inaonekana vyuo hivi vinaubora kwani wanafunzi wanakazi ya ziada ktk kuhakikisha wanapata GPA zenye ubora pia sapu na disco zipo nje .so tusome huku tukimweka mungu mbele.
QN:Trace the on going debates on constitution making process in Tanzania and enumerate
(a) the major reasons for constitutional change in Tanzania
(b) the key areas of controversy that need...
kama mkuu wa shule aliyepo ataendelea kuwa mkuu wa shule inawezekana kukakosekana hata division two kwani yeye hana muda na kushughulikia taaluma ila mambo yake ya kuchukua pesa za shule na...
Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi,Jenista Mhagama.
Baraza la Mitihani la Tanzania (Necta), limejipanga kuongeza kiwango cha ufaulu kwa wanafunzi wa sekondari nchini kwa kusambaza...