Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Muhula wa kwanza wa masomo kwa kidato cha tano unaanza Julai. Lakini baadhi ya shule binafsi zimekwisha kufanya udahili, kudai kishika uchumba kinachofikia hadi shilingi 1,000,000 ambacho...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Wakuu nimetembelea baadhi ya vyuo, vimeshatoa matangazo ya watu kuapply lakin wanasema ni kupitia tcu, sasa ninachotaka kujua ni kuwa tcu wamesharuhusu watu kuanza kuapply? Msaada wenu tafadhali
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Ninaomba msaada wa kujua shule za secondary bora katika mikoa ya Morogoro, Iringa, Mbeya, Arusha na Kilimanjaro. Natafuta kwa ajili ya mtoto wa kiume.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Naomba mnijuze kama wizara ya elimu na ya afya zimetoa matangazo,na deadline ni lini kwa sababu mdogo wangu kapata 3.30 anaweza kupata nafasi kweli?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Jamani kuna ukweli wowote kuwa mtu akiomba mkopo akaahirisha mwaka wa masomo, akija kuomba upya mkopo asahau tena
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari za jioni wanajamii forum, naombeni mnisaidie hili swali langu. Modern education overemphasizes on cognitive learning theory over behavioural learning theory. discuss?
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Ndugu yangu ana umri wa miaka 40, ameniomba ushauri wa kusoma, anataka kufanya mtihani wa six kama PC ili aende chuo kikuu. Kwa sasa yeye ni mjasiriamali na credit zake za O level ni hkl. Swali...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Ndugu walimu wenzangu nilikuwa napendekeza tupge sensa ni wangapi tumekosa hizi ajira ili kama ifikapo tar.25/4/2014 kama majina yetu yatakuwa hayajatoka tuweze kwenda moja kwa moja mpaka TAMISEMI...
0 Reactions
29 Replies
4K Views
Wakubwa natafuta nafasi ya mdogo wangu wa kike chuo cha ualimu , naomba msaada kwa anayejua wapi na namna ya kuomba nafasi.
0 Reactions
15 Replies
5K Views
Jamani mi nataka kujua eti mtu unapokuwa umeshasainisha barua zako za kubadilishana vituo pande zote kuna kibali unachoandikiwa na Ps wa DED kabla ya kwenda kwa RAS je kile kibali kile unapaswa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habar ya asubuh ndugu zangu.....jaman mwenye kufahamu kuhusu upatikanaji wa kazi ya ualimu ngazi ya stashahada na cheti(walimu wa vyuo hivi,government lakin)...anifahamishe tafadhali
0 Reactions
0 Replies
766 Views
Wakuu,kwa wale wanaojua kuhusiana na mitihani ya weledi ya bodi ya ugavi(procurements) naomba wanijuze, -kwa mtu aliyeishia kidato cha nne na ana matokeo ya daraja la tatu anaanza kwa kufanya...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Naomba mnijuze vyuo vinavyotoa course za cheti na stashahada mkoani humo b'cause nina mdogo kapata Divi 3 ya 30
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Hi jf members? Kuna mdogo alihitimu form six mwaka jana lakni hakuaply chuo, mwaka huu anataka afanye application, faculty ambayo anapenda ni LAW (LLB), je TCU watamchagua kwa haya matokeo? NB...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
nimesikia kutoka kwa frnd anasema wametangaza kwenye redio,je ni kwel wametangaza hvyo au? SAMAHANINI KWA USUMBUFU
0 Reactions
2 Replies
1K Views
They call the Third World the lazy man’s purview; the sluggishly slothful and languorous prefecture. In this realm people are sleepy, dreamy, torpid, lethargic, and therefore indigent—totally...
0 Reactions
0 Replies
954 Views
Kwangu mimi naona Ardhi university ni chuo chenye course ambazo ni more marketable japo wengi hawazijui kama Land management,buildingbecinics,geomatics na archetecture
0 Reactions
32 Replies
7K Views
Naomba msaada kwa anayejua au anayesoma bachelor tajwa nahitaji jua kuhusu upatikanaji wa ajira na kama ni kujiajiri naweza kujiajiri katika nini na vp kuhusu ushindani wakati wa udahili sababu...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari wadau. Nina mpango wa kuanza kusoma MBA mt. Meru university lakini mbona watu wanaponda saana hicho chuo? Kwani ukiwa na masters je inatofautishwa kwa chuo ulichosoma au?? Msaada jamani...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Salaam wana Jf, salaam sana. Nimekuwa nikijichanganya mazungumzo na wasomi wetu na kuangalia nyendo zao za sasa, nilichoambulia ni masikitiko tu. Hivi inakuaje mtu hadi anagraduate hajapata hata...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…