Inasikitisha ninapoona idadi ya waalim wa masomo ya sayansi (chemistry, biology, physics na mathematics) inazidi kupungua kila mwaka. Mfano hai katika wilaya niliyopo walimu...
H2O: Dangerous Chemical! A student at Eagle Rock Junior High won first prize at the Greater Idaho Falls Science Fair, April 26. He was attempting to show how conditioned we have become to...
Wakati jana raisi akitangaza nyongeza ya mshahara kuna idadi kubwa ya walimu wapya walioajiriwa aprili ambao hawajapata mshahara mfano h/mashauri ya kilindi ni walimu wapya 15 tu walioingiziwa...
Jamani hebu mwenye kujua tarehe ya mwisho kupeleka barua za kuomba kubadilishana vituo vya kazi kwa walimu kwenda TAMISEMI ni ipi anijuze pia majina ya waliokubaliwa kuhama mara nyingi hutoka...
Katika miaka ya hivi karibuni wahitimu wa masomo ya sekondari wamekuwa wakiomba kusomea ualimu ktk vyuo vikuu kwa lengo la kupata mkopo. Lakini kwa mwaka 2014/2015 kipaumbele ni kwa waombaji...
please kwa anaye vijua vyuo hivi vya Ualimu Singachini na Mandaka naomba anielekeze jinsi ninavyoweza kufika kutoka Moshi kwa gari yangu binafsi. Pia ni km ngapi kutoka Moshi town au kutoka...
Nina kijana hapa amepata div IV.40 ana (D ya biology ) (C ya kiswahili) Masomo mengine NI E na F naomba msaada jinsi ya kupata chuo ya Nursing au sehemu wanapotoa mafunzo ya uhudumu wa afya...
mapema wiki hii nilinsikia naibu waziri wa tamisemi anayeshughulikia elimu ndugu majaliwa akiuhadaa umma kuhusu mishahara ya walimu wapya, alisema walimu ambao hawajapata mishahara ni kea sababu...
Naombeni kama kunayeyote ambae amewahi kukosea au kuchaganya chochote pale anapofanya usahili wakujiunga na chuo kikuu kupitia NACTE-CAS kama kuna uwezekano WAKU-EDIT/KUREKEBISHA pale ulipokosea...
Hivi juzi juzi tu wakati mshahara haujaingia tulilalamika sana na kutoa maneno mengi, lakini pesa imeingia mbona hatusemi?
Mie naanza, jamani huku Kyela hela imeingia kwenye account zetu. Na...
Hbr ya Leo wana jukwaa
Nimesahau neno la siri la acc yangu ya siku zote.
Nimejaribu sana bila mafanikio. Mwisho nimefungua hii ili nipate msaada wa kuifungua ile.
Username ya cku zote ni...
wizara ya elimu wametoa tangazo lao la kujiunga na mafunzo ya ualimu ngazi ya stashahada na cheti.
Ambapo sijaelewa ni kwa ngazi ya stashada. Hebu ona hapa chini
MAFUNZO MAALUM YA UALIMU...
WanaJF naomba ushaur mdogo wangu ana4 ya point 26_(2012) naomba ushauri wenu asome mafunzo gan kat ya ualimu na kilimo? matokeo yake ni: civics_D, Hist_C, Kisw_C, Eng_D, Geo_D, Chem_D, Bios_D, Math_F
jamani naombeni ushauri nimefahulu masomo ya sayanc yote nina alama c, sasa lengo langu mm nikuw daktar baadae kwan hizo ni ndoto zangu na sitaki kutoka nje ya hapo sasa naombeni ushauri je...