Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

walimu wa sekondari wilaya ya mbinga mmelipokeaje swala la kuweka kambi za kufundisha kwenye shule zenu wakati wa likizo? je unafikiri kuwa na kambi kwa muda mfupi wa likizo mnaweza kuboresha...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kwanin taasisi husika imekuwa kmya had mda huu ktk utoaj wa post kwa kdato cha 5??
0 Reactions
8 Replies
8K Views
Habari zenu waheshimiwa. Ninaomba kujuzwa kuhusu hii kozi ya Bsc in Engineering Geology, ipoje katika usomaji?; mkopo wanapewa asilimia ngapi?; na vipi mtaalamu wa kozi hii soko lake ni kubwa...
0 Reactions
0 Replies
805 Views
dah!msaada et mwez uu au wa 6.
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Majanga.. Serikali imesema kuanzia mwaka huu wanafunzi wa kidato cha nne wanaopata daraja la nne hawataruhusiwa kusomea ualimu. Watakao ruhusiwa ni wale wa daraja la kwanza hadi la tatu...
0 Reactions
22 Replies
4K Views
Za saa hivi wadau. Kuna dogo wangu kamaliza form six mwaka huu na amepangiwa kwenda JKT kambini mwezi wa sita mwanzoni. Ni kweli wanatakiwa ku apply loan Board kabla ya kwenda JKT kambini.??
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wana Jf imekaaje hiyo course nataka nikasome diploma.Ninachoomba kufahamu ni wapi haswa ina apply,soko lake kujiajiri na kuajiriwa lipoje? Natanguliza shukrani.
0 Reactions
17 Replies
10K Views
Nimeanza ona harufu ya migomo kwa wanafunzi wa vyuo vikuu vyote..vijana wa vyuo vikuu neno haki limeandikwa mara 372 kwenye biblia pia hata quran tukufu inaongelea hili neno haki....itakuwa ni...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Nimemaliza kidato cha nne mwaka 2013 na nina ufaulu wa division II points 18,LAKINI sitaki kwenda advance je ni course gan ya diploma naweza soma(sana course za sayansi)? ufaulu wangu masomo ya...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
kwa mara nyngne wadau!najua hiz koz zot ni nzur lkn vitu huzidiana!so nahitaj ushaur kabla ya maamuz,ip n nzur zaid(interms of every thing)ushauri wakubwa.
0 Reactions
19 Replies
5K Views
kwa wapenzi wa novel, naomba msaada wapi jijini dar naweza kupata novel zifuatazo: 1. the rainmaker cha john grisham 2. overload cha arthur hailey
0 Reactions
10 Replies
2K Views
.
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Poleni na pilila za hapa na pale wana JF. Naomba kuuliza ukirudia mtihani(kutafuta kredit) na ukafaulu vizuri.Je kuna uwezekano wakupangiwa katika shule za serikali?Natarajia majbu mazuri.
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Nendemi ofisini
0 Reactions
5 Replies
10K Views
Salaam, Dungu wana Jamii, wengi wenu najua mmekuwa mkitafakari sana juu ya neno hili ''Masikini mkubwa'' watu wengi wamekuwa wakiwaambia wengine kuwa ni masikini wakubwa, na neno hili baadhi ya...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
ni15/5/2014 Kuna watu walisahaulika katika ajira mpya ya walimu likini tamisemi awatowi tamko la mwisho kwa wahanga hao kama Kuna mtu yupo dar au dom naomba aende ofisi zao aone kulikoni
0 Reactions
44 Replies
6K Views
Samahaani wana jamvi nilikuwa nna tatzo moja nilikuwa nataka kunadilisha jina langu na sasa hivi nipo chuo diploma ndo namaliza mwezi wa sita nataka nibadili jina kwenye vyeti vyangu vyoote jee...
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Akizungumza katika kipindi cha Jahazi cha Clouds Fm tarehe 15-5-2014 ,Dr Kawambwa alisema fedha zimeanza kupelekwa kwa ajili ya kulipa walimu ili mwaka mpya wa fedha uanze bila madeni ya walimu...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
kwa wanaohitaji tuition ya A leve masoma yafuatayo 1.biology 2.physics 3.chemistry 4.BAM mnakaribixha MWANZA mpate elimu ya awal kabla ya kwenda shule ADA NI Tsh 35,000 wote mnakaribisha...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Kuna tetesi kuwa serikali imetoa tamko kuwa wanafunzi wanotaka kusomea ualimu serikali itawasomesha bure ikiwa watakuwa wamefahulu kuanzia daraja la 1-3. Je kuna anayejua hili vizuri?
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Back
Top Bottom