Hadi kufikia Machi 31 mwaka huu, Wizara ya Elimu ilihitaji kiasi cha Sh86.5 bilioni kwa ajili ya mikopo ya wananfunzi, Bunge lilielezwa jana.
Mbali na kiasi hicho, hadi kufikia wakati huo...
Wana jf, ni jambo la kushangaza na kusikitisha kwa hawa maafisa wa wilaya ya URAMBO. Pamoja na walimu kuripoti tarehe mosi aprili,lakini halmashauri haitaki kuwapa mshahara walimu wapya...
Wlimu tumezoea kupata salary tar 25 mpaka 27 ya mwezi, but mwezi huu mpaka leo 28 kesho 29 bado migodi mikavu kulikoni?
Kuna latest nimeipata kwa jamaa yangu toka babati eti kuna process...
Habari za mida wakuu,
Kuna mdogo wangu alimaliza form 4 mwaka juzi akapata division 4 ya point 29, alikaa nyumbani mwaka mzima.
Mwaka huu ameamua kutafuta chuo, ila kwa bahati mbaya kwenye...
Kama 7500 inamtosha mwanafunzi wa chuo kwa matumizi ya siku moja, kwa nini wabunge nao wasijengewe hostel wakae humo halafu wawe wanalipa 500 kwa siku kama wanafunzi wa vyuo, halafu badala wawe...
Shule ya Msingi SEFANONI iliyopo katika Wilaya ya Manyoni Singida imeingia katika maajabu ya shule kuendelea kuwepo huku kukiwa hakuna mambo yanayowezesha uwepo wa utoaji wa taaruma katika shule...
Hii ni kutokana na kucheleweshewa pesa zao za chakula na malazi,vilevile wanadai mazingira mazuri ya kusomea na malazi.matangazo ya kuhamasisha mgomo,yamezagaa kila kona ya chuo,wanafunzi wote...
vipi hali wana jukwaa , nilikuwa na hitaji na wanafunzi wanaosoma katika hivyo vyuo nilivyovitaja hapo juu ,ningependa wanijuze kuhusiana na kozi ya CLEARING AND FOWARDING ikiwa bado inasomeshwa...
Nimeshangazwa na habari kuwa katika kuokoa jahazi la STRABAG serikali imeomba bodi ya mikopo itoe fedha lakini bodi ikasema fedha ilienda DANIDA.Habari kamili iko kwenye thread kwenye jukwaa la...
anaejua anifahamishe jaman....kama mtu amesoma diploma ya mechanical au computer engineering anaweza kuaply kozi za biashara kama account,procurement etc
Naomba kuuliza!!!Nina shemeji yangu ana Diploma ya IT anataka kuendelea na Degree ameniuliza ni kozi gani tofauti na IT anaweza endelea nayo ambayo anaruhusiwa kuomba nafasi ya chuo?Na ipi ni...
News from heslb, wanafunzi wote wa vyuo vikuu vya tanzania fedha ya chakula na maladhi ya awam ya pili kwa masomo 2014/ itapitishwa mpaka mchakato wa maoni ya katiba kukamilika hapo tarehe...
Mm nimeanza mtihani wa kidato cha sita Leo lkn ktk usajili GS lilisahaulika na sikugundua mapema coz nilichelewa kuchukua barua sasa sijui majibu yatakuwaje na je yataniwezesha kuendelea au mpaka...
wana jamvi naomba msaada jinsi ya kuapply mafunzo ya shahada online,nikifungua moe sioni sehem ya kjisajiri online,je nifanyaje wanajamvi?naomba msaada wenu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.