Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Jaman wanaosoma au waliosoma kigurunyembe tuambiane
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nauliza kama kuna mwenye majina ya waliochaguliwa vyuo vya ufundi hasa vya ualimu na vingine kama vipo na majina kama yapo kama vipi myaandike hapa hapa.
0 Reactions
6 Replies
3K Views
jamani tujuzane hii xul iko vp kitaaluma na mambo mengine
0 Reactions
2 Replies
3K Views
ngependa tujuane apa
0 Reactions
0 Replies
907 Views
Je wana jukwaa kuna mtu ana details za munanila high school
0 Reactions
0 Replies
848 Views
Wakuu, nina mdogo wangu yeye kachaguliwa ATC (Electrical Engineering) anataka kubadilisha ili apelekwe DIT (Electrical Engineering). Sasa, swali langu ni kwamba, mwenye kujua...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Poleni na majukum ya kila siku? Ndugu zangu nina shida na mtu mwenye mawasiliano na mwalimu mkuu au mwalimu yeyote anayefundisha Nyakato High School(Bukoba) , msaada wenu ni muhim sana na...
0 Reactions
0 Replies
970 Views
Habari wana JF, naomba msaada nifanyaje, dogo alichagua comb ya cbg ila shule aliyo pangiwa ndo wana anza mwaka huu kuchukua kombi hiyo. Dogo hataki shule hiyo anaka aende Loleza, dogo ni...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Nasikitishwa sana kwa ubaguzi walotufanyia baraza la elimu kwa sisitulomaliza shule za kata. Nimebutua fresh o level nikiwa na mategemeo ya kuchaguliwa dit lakini sijachaguliwa na badala yake...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Sidhani kama ni kawaida kwa vyuo vingne kukataa matokeo ya mwalimu fulani kuwa eti wanafunzi wamefaulu sana na arudie upya kusahihisha wakitaka wanafunzi wafeli ili uongozi upate pesa za...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Habari zenu wakuu naombeni msaada kwa yule anayefahamu kuusu selection za kwenda vyuoni kwa wahitimu wa kidato cha 4 mwaka huu kuna baadhi ya vijana hawajapata post za kwenda kidato cha 5 sasa...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Karibuni!! Central Line Research Associates (CELIRA) Announces A Dissertation/Research Project Report Writing Training Workshop 2014 Target Audience: Postgraduate students in...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
kuna rafiki yangu kasoma sheria anataka asome masters ya education kuna kaka kaniambia eti anaweza kupewa postgraduate diploma in education na masters at the same time is it possible friends?
0 Reactions
0 Replies
959 Views
Leo wakati natoka kazini,kuna jamaa yangu kaniambia tupitie stationery kununua KITE(kishada)eti mtoto wake ameagizwa shule mzazi amnunulie kesho aende nacho,nikashangaa sana sababu hyo ni kazi ya...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
VODACOM (M_PESA Service) Nahoji Kati yenu Vodacom na Bodi ya Mikopo ya wanafunzi wa Elimu ya Juu(HESLB) nani Tapeli? Maana kuna matatizo ambayo yaliyokuwa yakileta sintofahamu kwa waombaji...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Jamani wadau wa jf vocha za tcu kwa ajili ya kujiunga vyuo vikuu zinapatika benki gani mwaka huu 2014.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Jamani nimepangiwa kalangalala f5 iliyopo Geita,sasa cjajua hii shule mazingira yke,hasa upande wa malazi(hostel)! Nimepangiwa ktk mchepuo wa HGL,kwa anayeifahamu vizuri anieleze japo kwa kifupi...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Jamani naita elbariki Simon mpanda nimemaliza Kikuyu Sekondari Dodoma 2013 naombeni mnitazamie post yangu.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Jamani kwa university inayoanza kuna ruksa ya kua na serikali ya wanafunzi iliyochaguliwa na wanafunzi kwa mwaka Wa kwanza
0 Reactions
3 Replies
1K Views
SERIKALI itaajiri walimu wengine wapya wapatao 2,219, kufundisha katika shule za msingi na sekondari nchini. Walimu hao ni mbali na wengine wapya 33,894, ambao wameajiriwa hadi kufikia Mei 30...
0 Reactions
10 Replies
6K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…