Binafsi sijaridhishwa na ufaulu wa wanafunzi katika masomo ya book keeping na commerce-form four mwaka huu. Siwezi kukubali kushuhudia professional ya uhasibu ikiendelea kudidimia at an early...
Ukifanya uchunguzi wako kwa makini utagundua vijana wengi waliosoma Uganda ama shule za msingi, sekondari na vyuo (ikiwemo vyuo vikuu) huingia kwenye tabia mbovu ya ushoga tena bila kificho,
Mtu...
Wanajamii
Sidhani kama ni kweli kiwango cha ufaulu kimeongezeka tena kwa kiwango kikubwa hivyo, mfumo uliopo sasa wa GPA ni tofauti na uliokuwepo wa divisions hivyo kiwango cha ufaulu hakiwezi...
Nasikitika sana kuona vijana mnatumia mitandao (kama huu wa JF) kuonyesha umwamba wa chuo kipi bora na kipi sio bora, au taaluma gani bora na ipi sio bora. Hii ina sikitisha sana.
Kwa kifupi...
Baada ya viashiria vya kutosha kuwa mitihani yote ambayo ilikuwa imeishafanyika na ambayo ilikuwa haijafanyika kuwa nje kama soft copy naibu makamu wa chuo hicho DVC ARC ameamua kuifuta hiyo...
Mwanzo » Habari
Madawa ya kulevya yazidi kuwaharibu wanafunzi Dar
Na Moshi Lusonzo
14th February 2015
B-pepe
Wengi wamegeuka ni 'mateja', Wanashiriki kucheza kamari , Wanao...
MATOKEO ya mtihani wa kidato cha nne uliofanyika mwaka jana yametangazwa. Watahiniwa 240,903 sawa na asilimia 60.6 wamepata sifuri, huku wanafunzi 23,520 tu ambao ni sawa na asilimia 5.16 ndiyo...
Ni vyema tusijadili sera mpya ya elimu na mafunzo ya mwaka 2014 kabla ya kuisoma na kuielewa. Mfano kwenye lugha ya kufundishia, sera imeshindwa kuchagua lugha ya Kiswahili pekee kuwa ya...
Nimeangalia matokeo ya watahiniwa waliofanya QT 2014 kwenye website ya baraza la mitihani (NACTE) siyaoni...wameweka ya kawaida tu!
Mwenye kujua namna ninavyoweza kuyapata haya matokeo ya QT 2014...
Tanzania lazima ibadilishe mfumo wake wa ufundishaji kuanzia msingi ili masomo yote yafundishwe kwa Kiingereza isipokuwa Kiswahili kama majirani zetu.
Ni aibu kuwa na watoto ambao hawezi kutunga...
Habari wanaJF,
Nina mpango wa kusoma hiyo fani tajwa hapo juu but nina mpango wa kujiajiri hapo baadae. Nasikia zile mashine za mionzi ni ghali sana kwel? Unaweza kuazisha centre inayojihusisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.