Sijui wako wapi wale rafiki zetu wa shule ya msingi hasa darasa la kwanza mpaka la 7
Wale wanajua Siri zetu tangu tunajikojolea Darasani
Alafu kuna yule rafiki yako ambae ilikuwa kila Siku...
Ulimwengu wa sasa una mabadiliko mengi ya kiuchumi, kielimu, kiafya n.k.
Ulimwengu wa sasa ili ujiite msomi, inakulazimu umiliki tovuti '' website'' na kuwepo na kipengele kinachoonyesha...
Wakuu habari,
Kulingana na dunia ilivokasi kwa sass, ni kozi gani muhusika wa masomo tajwa hapo anaweza kusoma kwa lengo la kujiajiri na kuajiriwa.
Mbarikiwe.
Habr wanjf.
Kwa upendo kabisa naomba kuwashauri wazazi wenzangu, ni vyema kuwa na maono ya mbali kuhusa safari ya maisha ya vijana wetu,kama kijana amefaulu form six au form four ni vyema aende...
Je, kuna mtu humu ndani alishawahi kufanyaga interview ya ufadhili wa masomo inayotolewa na Bank of Tanzania (BoT)?
Kama umeshawai kufanya ni maswali yapi huwa wanapendelea kuuliza?
Kwa anayejua...
Je, kuna mtu humu ndani alishawahi kufanyaga interview ya ufadhili wa masomo inayotolewa na Bank of Tanzania (BoT)?
Kama umeshawai kufanya ni maswali yapi huwa wanapendelea kuuliza?
Kwa...
Kwa anaefahamu naomba msaada...mtu mwenye diploma ya clinical officer na akapata gpa chini ya 3
Je akisoma foundation kozi akafanikiwa kupata GPA zaidi ya hapo...
Inawezekana kwenda kusoma MD...
Salaam wana-JF
Kama kuna mwenye ufahamu wa kinachoonekana kwa hii screenshot anisaidie ufafanuzi.
Kwanza hizi acronyms STP na TRV zina-maanisha nini. Ukizingatia hii ni kwa wale waliosoma nje ya...
Habari zenu Wana JF,
Mimi nahitaji kufahamu kuhusiana na hizo kozi mbili upande wa kuajiriwa na kujiajiri Kati ya radiology na physiotherapy nikianza na radiology naona kwa Tanzania teknolojia...
Special cases mtu aende form 6
Bado ni mdogo sana kiumri
Hakuna uwezo wa kumlipia ada
Kutaka kuwa mwalimu,
Background yangu, Nilimaliza form 6 miaka ya 2009 nikapiga division 2 ya 10, baada ya...
Taifa linahitaji vijana wasomi na wenye elimu na maarifa ya kutosha, sasa inakuaje tena kunakuwa na adhabu ya kuwafukuza shule vijana hawa ambao ndio taifa la kesho pale wanapokutwa na makosa ya...
Habarini wadau,
Kwa wahusika ningependa ielekeze tangazo maalum la usomaji wa saa kwa wananchi wa Tamzania,
Mpaka sasa tuna mifumo mitatu ya uandikaji wa muda kuna :
1. 24hrs
2. 12hrs
3. Asubuhi/...
Ukichunguza matokeo ya wanafunzi wa form six 1960-2014 walikua ni miamba kweli kweli, yaani mtu anatambulika karibu kijiji kizima kwamba kijana wa flani kafaulu, mimi binafsi nilikua nikikutana na...