Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Neema imewajia tena wale wote walio kosa vyuo. TCU imetoa nafasi tena kwa wanafunzi kufanya application za vyuo Jitahidini kuomba vyuo vingi Kuwa makini katika uchaguzi wa degree programme...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Jamani, kama title inavyosema, mtoto anataliwa kuconfirm chuo anachoamini mi Bora kusoma Sheria kati ya vyuo vifuatavyo:tunaomba ushauri Chuo kikuu kipi unashauli niconfirm make nimechaguliwa 1...
5 Reactions
47 Replies
3K Views
Wadau hamjamboni nyote? Kichwa cha habari chahusika hapo juu Niwatakie usiku mwema
0 Reactions
1 Replies
386 Views
Niseme tu wazi mimi nimesoma UDSM, Ila sifurahishwi na jinsi ambavyo wahitimu wa udom wanavyopewa upendeleo ktk soko ajira kwasasa kuliko vyuo vingine au upendeleo? Hivi karibuni nilikuwa nchini...
4 Reactions
109 Replies
23K Views
Habari za muda huu tena wakuu. Naomba msaada na ufafanuzi juu ya Kozi hii inahusika na mambo Gani? BACHELOR OF SCIENCE IN BIOTECHNOLOGY AND BIOINFORMATICS Natanguliza Shukrani
2 Reactions
8 Replies
7K Views
Hivi hii course ya Molecular biology and biotechnology inalipa hapa Tanzania au ni Kuhangaika mwanzo mwisho afu ningependa kujua unaweza ajiriwa mahali gani? Na ingekua vizuri mngeniambia mshahara...
0 Reactions
26 Replies
12K Views
Habari, kama kichwa cha habari. Msaada wa shule nzuri kwa mtoto wa kike boarding O level. Nataman sana za kikatoliki kwa anaejua. Pia na connection naomba tafadhali. Asante.
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari wakuu Ninaomba ushauri Kwa mdogo wangu asome kozi ipi Kwa ngazi ya degree kati ya famasi na radiology,na ipi Ina nafasi nzuri Katika kujiajiri mwenyewe hata ukikosa nafasi ya ajira...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Naomba kujua vylyuo vinavyotoa Stashahada ya Uzamili ya Elimu (Postgraduate Diploma in Education) na ada zao.
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Wadau nimesom diploma ya pharmacy now niko chemistry degree najiuliza nikiajiriwa kwa diploma hii degree kada nitabadilishaje? Mshahara utapandaje ushauri please.
3 Reactions
3 Replies
622 Views
Nimeon tangazo la short course ya industrial pharmacy je hapa tz inasoko?
1 Reactions
2 Replies
384 Views
Za jioni wadau Naomba msaada wenu mimi nina diploma ya pharmacy nimemaliza mwaka jana nikataka kuendelea mwaka huu lakini nilikosa awamu zota tatu. Likaja dirisha la huruma la awamu ya nne...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Jamani naomba msaada kati ya bachelor of accounting with IT na bachelor in IT
4 Reactions
13 Replies
1K Views
Nikiwa mwanafunzi wa shahada ya juu katika chuo flani cha kilimo hapa nchini, nilipata nafasi ya pekee ya kuhudhuria kozi fupi (short course) usawa wa siku 14 ivi nchini Israeli. Katika safari...
4 Reactions
6 Replies
621 Views
Shule ya Msingi Mpigamiti iliyoko Liwale mkoani Lindi iongeze ufaulu ni mbovu shida nini? Ona matokeo https://onlinesys.necta.go.tz/results/2023/psle/results/shl_ps0804024.htm
2 Reactions
17 Replies
560 Views
Mfumo wa NACTVET kushindwa kutoa AWARD VERIFICATION NUMBER. USERNAME na PASSWORD walionitumia baada ya ku create account hazikubali ku log in na hata nikifanya FORGOT PASSWORD bado mfumo unanipa...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Jinsi ya ku re-apply chuo cha Muhimbili, maana kwenye akaunti yangu niliyoombea sioni sehemu ya ku re-apply.
1 Reactions
11 Replies
777 Views
Nimelaliza kidato cha sita 2024 nimesoma special diploma na nimesomea kombi ya PCE Yan physics, chemistry na Education na nimepata div 1 ya 6. Physics B, chemistry A na education C. Je kwa...
2 Reactions
27 Replies
2K Views
Wadau natafuta chuo Marekani ambacho hawahitaji test ya IELTS au TEOFL. Dogo kasoma bongo huo mtihani unasumbua ila ada ipo na application fee ipo. Wasalaam!
1 Reactions
6 Replies
458 Views
Wakuu, nipo huku Mtwara ndani ndani,natamani kujiendeleza kielimu ngazi ya degree kwa kozi za Afya. Naomba mnielekeze chuo kizuri cha nje ya nchi ambacho kinatoa elimu kwa njia ya masafa na...
5 Reactions
29 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…