Kumbe kuna unafuu Bandari ya Dar es salaam

Sep 9, 2016
22
35
Kumbe, utaratibu wa Bandari, kuzuia magari kupelekwa katika bandari kavu (CFS) unafaida sana, waagizaji wa magari wamefurahia utaratibu huu kuliko ilivyokua awali, walipotakiwa kwenda kuchukua magari yao katika bandari kavu (CFS).
 
Kumbe, utaratibu wa Bandari, kuzuia magari kupelekwa katika bandari kavu (CFS) unafaida sana, waagizaji wa magari wamefurahia utaratibu huu kuliko ilivyokua awali, walipotakiwa kwenda kuchukua magari yao katika bandari kavu (CFS).
Tuelezee vizuri tuelewe
 
Kumbe, utaratibu wa Bandari, kuzuia magari kupelekwa katika bandari kavu (CFS) unafaida sana, waagizaji wa magari wamefurahia utaratibu huu kuliko ilivyokua awali, walipotakiwa kwenda kuchukua magari yao katika bandari kavu (CFS).
Ukiona watu wanakurupuka utafikiri paka aliyefumaniwa akiiba mboga ni mtu kama huyu maana haeleweki anazungumza nini
 
Mmh Mkuu hujaeleweka..jazia nyama habari yako
Kabla ya hapo ilimbidi mtu alipe gharama za bandari na za bandari kavu. sasa ukilipa gharama za bandari tu then unatoa mzigo waku hakuna bandari gavu tena. niunafuu mkubwa kwa wateja wetu
 
kila siku nikisema uvccm ni vilaza watu hawanielewi, mletapost ndio icon zenyewe za Lumumba! Duu
 
Uwe unahakiki kwanza kabla ya kuweka bango lako mana hatujui mwenzetu umeandika ukiwa tumbo wazi au umejikuta tu umeandika
 
Fatilia hii link uteelewa hali ya bandari ikoje sasa tz

*Unaweza kuangalia idadi ya meli zinazoingia Bandalini Dsm na Bandali Jirani ambazo ni shindani. Hii itonyesha kama kweli sisi hatupati meli au tunasema tu bila kuwangalia*

=http://www.marinetraffic.com/en/ais/index/ports]http://www.marinetraffic.com/en/ais/index/ports[/URL]
Ni kweli kuna decline ya cargo.. Lakini unaposema relative to Mombasa au bandari nyingine tayari argument yako inakuwa weak sababu unakuwa hujaweka all the facts kuonyesha how was Mombasa before and now na pia same thing kwa Darisalama. Data ulioshare ni kama kujaribu kufanya comparison of absolute numbers ambayo ni ngumu kuitumia kuamua kwamba kuna decline ama growth relative to others. You are talking of absolute numbers ambazo kuzilingalisha ni makosa kama haujatoa details kidogo kukusu context ya vitu viwili unavyofananisha. Ni sawa na kusema mkoa wa Dar unaingiza hela nyingi kuhusu Morogoro kwa hiyo Morogoro uingizaji hela umeshuka..Argument ya aina hii ni weak...Kwenye Context unapaswa kutoa details za ukubwa na mambo mengine ili watu waweze kuona kwamba context ya Morogoro na Dar ni sawa kufanya absolute comparison.
Tunapoiongelea Kenya tu GDP yao ipo juu kwa zaidi ya dola bilioni kumi ukilinganisha na yetu. Hapo tayari inakupa picha ya kwamba uchumi wao upo more active zaidi ya wa kwetu na hiyo inaweza ika reflect mpaka kwenye Cargo inayoingia na pia uwezo wa ports zao. Tunachopaswa kufananisha ni relative capacity na ili kuweza kufananisha hii inabidi tuwe na data za bandari zote kwa mwaka jana na kwa sasa. Hapa tutangalia percentage ya growth or decline na kuweza kufanya conclusion kwamba kama tuna lose relative to others or not...Kama relative decline or growth haitofautiani basi tunaweza tunaweza tukarule out contributions ya local variables. Kama zinatofautiana sana basi we can hypothesize possibly decline au growth ipo influenced na local factors....Kwa hiyo then hapo ndo tunakuwa uhakika..Mfano wanaposema uchumumi wa Tanznaia utaongoza kwa kukua kwa kasi katika ukanda wa Africa mashariki, je kwa tafsiri ina maana uchumi wa Tanzania utakuwa mkubwa kuliko wa kenye kwa kipindi hicho? La hasha. Hilo halina tofauti na argument yako
 
Back
Top Bottom