Habarini wandugu....Nafikiria kufanya biashara ya matunda ila ni kusafirisha kwenda nje na pia kuagiza baadhi ya matunda ambayo hayapatikani kwa wingi kama Tufaa(Apple) je nini kinachohitajika...
JE UNATAKA KUTENGENEZA KIPATO HADI SH MILIONI 5 KWA MWEZI BILA KUATHIRI KAZI ZAKO?
TUNATOA MAFUNZO BURE KWA NJIA YA WHATSAPP GROUP. KUJIUNGA NA GROUP LETU BONYEZA LINK HII [emoji116]...
The 8th International Operations Research Society of Eastern Africa Conference
The University of Dar es Salaam Business School
Date: October 25th - 26th, 2012,
Venue: Kunduchi Beach &...
Wanajamvi Tafadhali kwa kwenye utambuzi juu ya kuwa wakala wa mpesa,Tigo pesa pamoja na airtel money.kwa maana ya mtaji wa kuanzia unapaswa uweje pia na kama biashara hiyo inalipa.naomba...
Natanguliza shukrani na ombi kwa wasiotaka kuchangia waache,nimechaguliwa kujiunga na chuo cha sayansi na teknolojia cha mbeya(MUST),mimi ni kijana ninayejitegemea kwa kila kitu na nimetafuta ada...
Wakuu, nina shamba kama ekari 100 za miti mfundi yenye miaka 10, nataka nitumie shamba hili kupata mkopo bank kwa ajili ya biashara.
Naomba kujua ni bank gani inaweza kukopesha kwa dhamana ya...
Kwa mara ya kwanza katika maisha yangu ya miaka 55, Mungu amenijalia kupita kwenye usafiri wa hewani na fastJet kutoka DSM kwenda Mwanza kwa bei ya sawa na usafiri wa Mombasa raha kati ya Dar na...
Natoka Tra nakuta tozo la kodi la sh laki tatu kwa miaka 4 iliyopita kwa pikipiki iliyokwisha kufa zamani. Naona sio haki kulipa kodi kwa chombo kilicho kwisha kufa
Meneja wa benki ya CRDB mkoani Kagera Carlo Sendo na aliekuwa katibu tawala wa mkoa huo bwana Amantus Msole ni miongoni mwa watuhumiwa wanne walofikishwa kwenye makahama ya hakimu mkazi ya Bukoba...
Habary wanajamvi,
Naomb mnisaidie elimu kidogo juu ya shughul ya tigo pesa pamoja na m-pesa. Na n kwa mtaji wa kiasi gan unaweza kufany shughul hii kwa ufanisi, location ni miyuji in Dodoma region.
Mwana Jf embu jiulize maswali haya labla ya kukimbilia kukopa mafuba...
1 . Kwanini nimeamua kukopa?
2 . Je! Hakuna njia nyingine mbadala yakufanikisha mpango Huu nje ya mkopo?
3 . Je?Hiki...
Uchumi wa Tanzania Unapaa.
Je, hali za Wananchi zikoje?
Sekta zipi zimesababisha uchumi kupaa?
Uchumi wa Tanzania umekuwa kwa asilimia 7.9 katika robo ya pili ya mwaka 2016, ukuaji huo...
What should we to do in order to expand the economy "opportunies" to a young entrepreneurs of Tanzania?
TLT
Kipi tunatakiwa kufanya ili kutanua fursa za kiuchumi kwa wajasiriamali vijana wa Tanzania?
Jaman wadau kijana wenu nataka kuanza ujasiriamali nina mtaji wa million 4 nilikua na wazo la kununua Bodaboda lakn kuna mshkaji wangu kanishauri nifungue duka la rejareja la kuuza vitu kama...
Habari zenu waheshimiwa, napenda kuchukua fursa hii huru kuwasilisha swali ambalo nashindwa kulipatia majibu kwa kipindi kirefu, natumaini kwamba kwa busara na weledi wajukwaa hili nitaweza patiwa...
Dar es Salaam — Swala Oil and Gas (Tanzania) Plc has entered into an agreement with Surestream Petroleum Limited to acquire the latter's wholly-owned subsidiary.
The subsidiary - Surestream...