Wanajamvi Tafadhali kwa kwenye utambuzi juu ya kuwa wakala wa mpesa,Tigo pesa pamoja na airtel money.kwa maana ya mtaji wa kuanzia unapaswa uweje pia na kama biashara hiyo inalipa.naomba kuwasilisha......!!!!!????

umeshafanikiwa?
kama bado unatakiwa uwe na TIN number ya biashara, kisha TRA watakukadiria kodi kulingana na mtaji wako na jinsi utakavyijieleza mfano laki na nusu ama laki mbili , waweza kulipa nusu, kisha unaenda halmashauri ya wilaya kuchukua leseni ya biashara nayo ya weza kuwa kama elf 60. Hapo sasa utapeleka copy ya TIN na leseni ya biashara kwenye hizo kampuni ukapate hizo Till yaweza kuwa miezi 2-3
Njia fupi nikuzinunua hizo line kwa watu kisha uanze kazi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.