Taasisi ya TradeMark East Africa, TMEA, imeahidi kuisaidia Zanzibar, katika kukuza biashara na kuondoa vikwazo vya Biashara kwa bidhaa za Zanzibar, ili ziweze kuingia kwenye soko ya nchi za...
Habari zenu wadau
Wataalam wa uchumi naomba tusaidiane hapa
Tuambiane faida na hasara za kuwekeza pesa kwenye utt miccrofinance ikiwa kama tawi la utt
Ahsanteni sana
Za jioni ndugu jamaa na marafiki.
Naomben msaada wenu wakina.
Nina mtaji wa 250,000/= nataka kufanya biashara ya kahawa na nipo Dar es salaam. Kabla sijaanza ningependa kuuliza maswali...
Jamani mimi ninayeandika makala hii, ni mgeni humu Jamii forum, hii ni post yangu ya kwanza hivyo kama nitakuwa pengine nimekwenda kinyume na utaratibu, nadhani mtanisahihisha kwani badala ya...
Ninatafuta taarifa za vitu hivi kwani nimeamua kuwa mjasiliamali zaidi kuliko kufikiria ajira.
1. Hapa Tanzania ni wapi wanalima kwa wingi Vitunguu Saumu, Dengu na Ngano na bei pia kama...
An Accurate Friday Strategy for Forex and Binary Options
Revolutionize Your Trading Career
The purpose of this strategy is to show you how to trade most important fundamental figures that come...
Watu wengi wamekuwa wakiniuliza swali la napotaka kuanza kufanya Branding natakiwa nifanye kitu gani?, kitu cha kwanza ambacho ni msaada mkubwa kwako kwanza unatakiwa uijue Branding yenyewe ni...
katika majengo mengi ya viwanda huwa kunakuwa na vifaa kama feni vinafungwa juu ya paa ili kutoa hewa nje, naomba kujua vinaitwaje na upatikanaji wake pamoja na bei ikoje
Wapendwa poleni na hongereni kwa majukum....
Wadau naomba mnisaidie upatikanaji wa mashariti haya na gharama zake kwa mtaji wa million mbili(2M)
1. BARCODES YA BIDHAA
2. TRA RECIT
3. LESSEN...
Wakuu, Mimi Ni mwajiriwa serikalini mwaka huu nimetimiza miaka mitatu kwenye ajira hiyo, Nimekuwa kila nikipata kiji mshahara kangu nawekeza kwenye biashara Na sasa biashara imeshamiri wasi wasi...
Binafsi nahisi tozo katika Benki zetu hapa ndani zimekuwa nyingi na nyingine ghali kiasi kuwa inakatisha tamaa kuweka hela huko
Mfano WA tozo;
Kuangalia salio
Kutoa hela dirishani at kwenye ETM...
Wadau, Tusaidiane kukosoa tangazo hili la biashara kwenye web page ya ATCL maana halijakaa poa linaonekana kama "uchafu" na linatia aibu kulinganisha na ndege yetu ilivyo nzuri ya kupendeza na...
Kweli hamna lisilowezekana chini ya jua .Kitendo cha kumtambua Said Salim Bakhresa na kuamua kumpatia ardhi bure kwa ajili ya kujenga kiwanda cha kusindika matunda ni dhahiri kimeonyesha kuwa Rais...
Leo nlipita ktk bank 5 tofauti kuulizia taarifa za mikopo kwa wajasiliamali:niliwatembelea CRDB,NMB,TPB.Barclays na MUCOBA, kifuatacho ndicho nilichokipata:
1. CRDB,NMB,TPB na MUCOBA
Hawa jamaa...
Ni rafiki yangu mjasiriamali. Anauza vitu vinavyotumika kwa mahafali. Vitu hivyo ni kama mataji, maua, kadi, n.k.
Kwa msaada wenu, andika jina la shule na tarehe ya mahafali ili huyu kijana...
Nataka kuagiza gari toka Japan, Kuna gari inaitwa VW golf touran ambayo nime vutiwa nayo na bei take ni reasonable sana. Tatizo ni kwamba watu wangu wa karibu wana nitisha kwamba spea...