comrade igwe
JF-Expert Member
- Jan 12, 2015
- 7,295
- 3,939
Wana jamii amani kwenu.
Kutokana na serikali kuagiza fedha zote za taasisi kubwa zipitie na kuhifadhiwa benki kuu ,ni dhahiri mabenki yamekosa fedha nyingi za kujiendesha maana taasisi zote zimeelekeza fedha central bank, kabla ya hili mabenki yaliwatosa wananchi wajasiriamali wadogo na kuwekeza kufanya biashara na wakubwa kwa 80% kwa wadogo kwa kuweka riba kubwa ili wadogo wasithubutu kukopa, kitendo cha kusahau wadogo eti hawakopesheki kilizuia mzunguuko mkubwa wa fedha nchini na athari na ukweli umeanza kujitokeza kwa wananchi wengi, basi kwakua mirija wa mliowakopesha kwa riba kubwa imekatwa na inaendelea kukatwa na kupelekea kushindwa kurudisha mikopo hamna budi kurejea kwa wafanyabiashara ndogo walio wengi nchini ili wakopesheke kwa riba nafuu na kuondoa economic crisis kwa darubini tu na nitategemea economic boom mkifuata ushauri huu, otherwise banks bankruptcy ipo njiani soon