Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

  • Closed
Kafanikiwa kupata huo mkopo Habari za mda huu!! jamani natafuta wa kunikopesha 30000 tu !! nitarudisha after 3days!! kwa yeyote alie serious PM msaada Tafadhali
1 Reactions
66 Replies
8K Views
Shalom! 1. Awali ya yote nahitaji kufahamu kuhusu upimaji wa kiwanja Chenye ukubwa wa 250 *150 square meters kilichopo kijijini mkoani Mara wilaya ya butiama! 2. Gharama za upimaji wa kiwanja...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
f.c.k.u
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Natafuta field Natafuta field
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Ninahitaji mabanda ya nguruwe ya kukodisha. Mwenye mabanda au information tafadhali tuwasiliane. Yawe Dar es Salaam. 0758830045
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Ninahitaji toolbox ya Raisin Windscreen.... msaada ni jinsi gani naweza kupata?
0 Reactions
0 Replies
711 Views
ninacho kipato (net guaranteed income) ya shs 250,000/- kwa mwezi zinazotokana na wapangaji wangu wa kibiashara kwenye nyumba, na wenye mikataba ya kudumu. nahitaji mkopo wa shs milioi 20 wa muda...
0 Reactions
0 Replies
626 Views
Muheshimiwa kwanza nianze kukupongeza kwa Juhud zako tukufu za kulifufua shirika letu LA nndege hii inaonesha una nia ya dhati ya kutufikisha canaan. Muheshiwa pia nimeona jitihada zako za kuvutia...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Habari ya mapumziko wana jukwaa!!! Hivi karibuni imezinduliwa kampuni mpya ya mawasiliano inayokwenda kwa jina la Halotel. Inakuja kumenyana kibiashara na kampuni kubwa na ambazo zimejiimarisha...
0 Reactions
61 Replies
10K Views
Nmepata milioni tano nataka nifanye biashara Bukoba na ndiyo mara yangu ya kwanza kwenda tafadhari kama unafahamu fursa na changamoto zilizopo nisaidie
1 Reactions
13 Replies
4K Views
Salaam wadau... Ni muda mrefu nimekuwa nikiona wanafunzi wa elimu ya juu wakilalamika kuhusu pesa ya kujikim "boom" haitoshi. Pengine inatokana na matumizi makubwa na yasiyo na ulazima. Mara...
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari wakuu. Poleni kwa majukumu ya kitaifa na familia.Naomba kuelekezwa duka la chemicals za madini kwa hapa dar es salaam .Hasa natafuta 'activated carbon' kwa ajili ya ku-process dhahabu...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
I have been using Payeer services for a while for deposit and withdrawal via my CRDB Mastercard. But they have stopped their services of withdrawing via Mastercard. Only option available is Wire...
0 Reactions
1 Replies
5K Views
Shelves Double sides 320,000 Single sided 210,000 Checkout counter 1,000,000 Shopping basket 30,000
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu, Kama kichwa cha Habari kinavyosema,nahitaji kuanza biashara ya nafaka,mahari ni Dar es salaam Kigamboni hivyo nahitaji kuchukua fremu na pia kununua nafaka kwa bei ya jumla kwa...
2 Reactions
1 Replies
1K Views
Nataka kuagiza simu kupitia mtandao wa amazon na ninahitaji mzigo wangu niupokee kwa njia ya USPS, Tatizo sifahamu hii USPS inakuaje ila naona wengi wanasifia kua ni nzuri. Naomba mnieleweshe...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Nimesikia benki ya Waislamu ya Amana inatoa mikopo bila riba, sasa faida wanapataje? Fedha za kuendesha benki wanazitoa wapi, hii system ya benki inayofuata sharia inafanyaje kazi? Ukichukua...
5 Reactions
95 Replies
21K Views
Biashara ni moja ya nguzo muhim sana katika maisha tafadhali tujenge msingi bora kwa maisha yetu. [emoji117] Ruvuly De finisher - Community - Google+
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Asalam alyykum hamujambo, Mimi ni mzaliwa wa Pemba umri 37, natafuta mtu tushirikiane kibiashara kwenda kuchukuwa bidhaa nchini China, bidhaa zenyewe ni spea za simu kwa jumla utaratibu vipi...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
jamiiforums.com Earn 10$ for every 30 second Task. Internet Job Fata link hiyo kutengeneza hera
0 Reactions
1 Replies
772 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…