π’ TANGAZO LA UJENZI π π§±
π¨ Unahitaji fundi wa ujenzi wa kisasa?
β Mashimo ya choo
β Septic tank
β Plasta na skimming
β Ujenzi wa nyumba zote za kisasa
π Kazi safi, ubora wa hali ya juu, na bei...
Unahitaji mfumo wa kutunza kumbukumbu kama bidhaa, faida na n.k. Kuna mifumo miwili mmoja wa kompyuta unawekewa unatunza kumbukumbu humo humo na kuna mfumo mwingine unatunza taarifa kwenye seva...
Kama Tittle inavyojieleza.
Mimi nipo Mwanza, tangu 2022 nilikuwa nafanya biashara ya usafirishaji, bahati mbaya nilipata changamoto zilizofanya niyumbe sana kiuchumi.
Hapa nimebakiza laki 8 tu...
Kwanini wasiwaombee wagongwa mahospitalini,vita ya kongo,vita ya israel na palestina,nk?
Mbona waTz mnakuwa mataahira hivi jamani?uzuzu gani huu?wao wenyewe wanaotaka kuombea taifa ndugu na jamaa...
Mambo vipi wakuu mko poa?!! natumaini mko salama. Kwa wale wazee wa forex naombeni msaada ni broker yupi ambae unaweza uka-deposit na ku-withdraw pesa kupitia mitandao ya simu ya Tanzania.
Pia ni...
Kipindi kile nilipenda sana somo la geographia, yaani baada ya kujua kusoma bwinde uko kijijini basi mwalimu yule aliefundisha somo la maarifa ya jamii hakika alinivutia sana. Yule mwamba alikua...
Kwa mahitaji ya simu Tanzania yote tunatuma kwa uangalifu na umakini mkubwa.
Simu kali kama vile IPhone Samsung Galaxy na Google pixels
Mpya na used.
Tunapatikana Kariakoo, kinondoni studio pamoja...
Habari za majukumu,
Nani anaijua biashara ya accessories za simu kama cover, glass, spare no?
Tusaidie kujua ni Vitu gani mtu afanye kama anaanza ni cover or glass zipi aanze nazo.
Asante kwa...
Wakuu hebu tujaribu kulinganisha kati ya biashara na ajira kwa upekee na kwa factor zinazofanana au watu wenye madaraja sawa ya vipato kwa upande wa ajira na mtaji au mapato tuone nani...
Jamii pendwa habari zenu. Naomba ushauri juu ya hii biashara ya dry cleaner imekuwa kwenye kitabu changu cha kumbukumbu kwa muda mrefu.
Naomba msaada wamawazo gharama zake hasa za mtaji wa vitu...
Habari ya leo wakuu, poleni na mihangaiko ya kila siku,leo nna vitu 7 natamani kuwashirikisha vijana wenzangu wanao hitaji kujikwamua katika hari ya maisha duni tuliyo nayo.
katika mambo haya...
===
Rais Samia atoa TZS83bn ikiwa ni 10% kwa Vijana 4%, Wanawake4% na wenye Ulemavu 2%. Wakati Rais Samia anaingia madarakani mwaka 2021, mikopo ya 10% iliyotolewa na halmashauri zote nchini...
Wakuu nafanya speculation.. Je ni sehem gan bagamoyo ina opportunity ya kua kama mbweni ijayo.. Kama unajua tafadhali shusha comment hata kama sio b/moyo
Habarini members,
Nilikuwa naomba tupeane connection ya chimbo la kununua dawa( dawa za binadamu)kwa bei ya jumla kwa ajili ya pharmacy! Either Kariakoo au popote pale!
Natanguliza shukurani
Waziri wa Madini Mhe. Anthony Mavunde amesema Tanzania inajipanga kuwa kitovu cha utengenezaji wa bidhaa na huduma migodini kwa nchi za kusini mwa jangwa la Sahara kwa kuvutia uwekezaji kwenye...