Tunafunga CCTV camera, alarm systm, Electric Fence, Remote gates nk
Tunafunga camera za ulinzi majumbani, maofisini, mashuleni, hospitali, migodini, mashambani nk.
Tunaunga mifumo yote kwenye...
Ila Zambia bhana, hawa migration wa Zambia ni habari nyingine linapokuja suala la raia wa kigeni.
Watz wanaofanya biashara Zambia wanaelewa muziki wa migration wa Zambia. Jamaa wanakufata mpaka...
Bei: 50,000 TSH
✔️ Bramu mbili (Dual Plates) — pika vyakula viwili kwa wakati mmoja!
✔️ Linafanya kazi kwa haraka na kuokoa umeme
✔️ Salama kutumia — lina thermostat ya kudhibiti joto
✔️ Muundo...
Bila shaka mu wazima na mnaendelea na majukumu.
Moja kwa moja niende kwenye mada,naomba kufahamishwa kuhusu binance.
Kwanza binance ni nini?
Inafanyaje kazi?
Faida zake?
Hasara kama zipo...
Habari wanajamvi..
Nimejaribu kutembelea miji, manispaa, na majiji mbalimbali kwakweli kuna utitiri mkubwa sana kwa sasa wa maduka yanayouza jezi mbalimbali za timu za mpira wa miguu.
Kwa...
Habari za weekend wakuu
Nahitaji mkamuaji mwenye kiwanda cha mafuta ya ubuyu mkoani Dodoma
Nahitaji kwa wingi sana
Lakini sharti langu ni moja tu
Siku ya kukamua mafuta niwepo nashuhudia...
🎯 Soko Lengwa kwa Kijana Unayetafuta Fursa kwa Ujuzi wa Graphics Design
Je, unajua kuwa ujuzi wako wa graphics design unaweza kuwa zaidi ya kipaji ukawa chanzo cha mapato endelevu...
DKT. MWIGULU NCHEMBA ASISITIZA UWAJIBIKAJI KWA WATUMISHI OFISI YA HAZINA NDOGO KIGOMA
Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba, ametembelea Ofisi zilizo chini ya Wizara ya Fedha Mkoani Kigoma...
Nimepewa kazi na mwamba mmoja kumuamdalia proposal, wakuu wenye uzoefu naomba mwongozo juu ya uandaaji wa proposal ya mashirika? Kuomba fund, na projects.
Hili ni moja ya mafundisho muhimu sana niliyowahi kujifunza kwenye biashara na bahati mbaya au nzuri, nililijifunza kwa kulipa ada kwa njia ya hasara. Siku hizi niko makini kupita maelezo...
Kitabu Rich Dad Poor Dad cha Robert Kiyosaki kinatoa masomo kadhaa ya msingi kuhusu pesa, uwekezaji, na mtazamo. Yafuatayo ni mambo makuu kumi tunayojifunza kutokana na kitabu hicho:
---
1...
Kuna vyuo vingi sana nimeviona vinatoa kozi ya masoko (Marketing)
Kuna umuhimu wa kuajiri kwenye biashara zetu wahitimu wa vyuo waliosomea marketing (masoko) ili kuzikuza biashara zetu ?
Uzi huu ni maalumu kwa Vijana wanao hitaji kupata mikopo ya asilimia 10.
Ni maalumu pia kwa wanawake wanao hitaji kupata mikopo ya asilimia 10.
Utaeleza mambo yafuatayo:
(1) Utaeleza vitu...
Habari Wakuu naombeni muongozo nahitaji kuanzisha biashara ya kuprinti tsheti na kofia na vinginevyo naombeni muongozo kuhusu mtaji na mambo yanayohitajika🙏🏻🙏🏻 na sehemu nnayoweza kuvipata ivyo...
Wakuu habari za usiku huu, poleni na majukumu
Niende kwenye mada, mimi ni mfanya biashara mdogo mdogo ila sio mdogo sana, nina mda sasa nafanya biashara ya asali nauza Dar na Zanzibar namshukuru...
JINSI YA KUSIMAMIA NA KUENDESHA BIASHARA YA SPEA ZA PIKIPIKI NA BAJAJI.
⚙Watu wengi wanatamani sana kufanya Biasha hii, laikini hawajui jinsi gani wanaweza kusimamia biashara yao ili iweze Kukua...
Habari
Tv Ya solar max double glass,(vioo viwili) inauzwa 170000 na stand yake ya ukutani
INch 32 nina shida ya haraka
Nipo mabibo makutano 0781 493401 nicheki hii tv ni yangu natumia hapa...