WanaJF, Hebu Tulete Elimu ya Biashara Humu ndani…
Ndugu zangu wa Jamii Forum, natumaini mko salama kabisa. Nimeona nilete uzi huu mzito wenye mafunzo halisi kwa wale wote wanaotaka kutoka mtaani...
Habari wakubwa....
Leo nimeona niwashirikishe juu ya wazo langu hili la kutengeneza madubwi(slot mashine) na kuyauza
Game za dubwi huwa naweza kuzitengenza kuanzia mwanzo mpk mwisho...
Habari wanaJf, nataka kufungua akaunti nilishawahi kuwa na akaunti Stanbic na NBC hizi zilikua ni kwa ajili ya kupokelea mishahara na niliachaga kutumia baada ya kuacha kazi.
Sasa nataka kufungua...
Ushuhuda wa Takwimu
Onesha namba, idadi ya watu wanaotumia bidhaa au huduma yako Takwimu huongeza uaminifu kwa watu kama namba zikiwa nyingi
Mfano: Zaidi ya watu 5,000 tayari wanatumia huduma hii...
Ushuhuda wa Takwimu
Onesha namba, idadi ya watu wanaotumia bidhaa au huduma yako Takwimu huongeza uaminifu kwa watu kama namba zikiwa nyingi
Mfano: Zaidi ya watu 5,000 tayari wanatumia huduma hii...
Habari wakuu.. ni ipi biashara nzuri zaidi Kati ya spea za bodaboda au vipodozi kwenye mji unaonza kuchangamka...hasa maeneo kama ya kibaha kwa Mathias..mtaji kiasi gani tunaweza kuwa mzuri kwa...
🙋♂ Kuweka account ya biashara mtandaoni siyo tatizo kubwa lakini kuendesha account hiyo kwa mafanikio ndilo changamoto kubwa kwa wamiliki wengi wa biashara. Wengi wao hukutana na vikwazo kama...
🌀 Kumbuka: Katika somo letu la kwanza, tulijifunza kwa ujumla nini maana ya uwekezaji na kwa nini ni muhimu kwa kila mmoja wetu kuanza safari hiyo mapema iwezekanavyo.
📍 Leo, tunazama ndani zaidi...
🔎 Unapowekeza kwenye hisa za benki, kuna vipengele vingi vya kuzingatia. Lakini kwa mwekezaji makini, kuna ratio mbili muhimu zinazopima ubora wa biashara ya benki:
1️⃣ NPL – Non Performing Loans...
TANZANIA KUWA KINARA WA UTOAJI WA HUDUMA ZA KIMAABARA AFRIKA MASHARIKI NA KATI
▪️Waziri Mavunde aweka jiwe la Msingi wa Ujenzi wa Maabara ya kisasa
▪️Ni maabara kubwa ya uchunguzi wa sampuli za...
Changamoto ya mauzo imekuwa kubwa sana Chanzo nini na pia kama mfanyabiashara nini unatakiwa kufanya kwa kipindi hiki cha purchasing power ya wateja kuwa chini.
Pia timing nzuri ya biashara na...
Mara nyingi wawekezaji huangalia bei ya hisa pekee — ndiyo maana bei inapopanda au kushuka hupata presha au wasiwasi. Lakini ukweli ni huu:
Unaponunua hisa, hununui tu karatasi au namba — unakuwa...
Natumaini ni wazima wa afya watumiaji wote wa jf.
Leo nitaandika kila kitu nachojua kuhusu biashara ya mbao laini zinazotokana na mti aina ya pine.
Nitazungumzia kuanzia manunuzi ya miti kutoka...
Ni aina Gani ya biashara ambayo unaweza kuifanya maeneo ya tourist areas...ikawa kama huruma au services ambayo ipo kama mfumo wa utalii Yani something amazing
Huenda kimewai kufanyika somewhere...
Habari zenu wakuu,
Experts wa mambo naombeni ushauri hapa. Nina 30mill, niko interested na kufungua Phamarcy/uwakala wa miamala ya pesa (simu na bank).
Je, biashara ipi itafaa na haitanihitaji...
Jiepushe na mikopo ya muda mrefu. Binafsi nashauri usikope zaidi ya mwaka mmoja.
Kama lengo lako ni kujenga nyumba, fanya hatua kwa hatua mpaka nyumba itakapoisha. Utatumia gharama na riba ndogo...