Ebwana, Habari wana JamiiForum
Nimeleta muswada huu mbele yenu kutangaza biashara ya milango (USED) kutoka kwenye nyumba ya mshua mmoja mtunzaji sana wa mali zake
Aisee hii milango iko katika...
Benki ya Dunia (WB) imetangaza marekebisho ya kiwango cha kimataifa cha umaskini, ikipandisha kiwango cha chini kutoka Dola 2.15 za Marekani kwa siku (sawa na TSh 5,614) hadi Dola 3.00 (TSh 7,834)...
Kwanini wataalamu wanaopata shahada na astashada kwenye vyuo vyeti hapa Tanzania hawapewi nafasi za mbele kwenye miradi nchini?
Je ni kweli wamepata ujuzi au sisi wenyewe hatuwaamini na kama...
Ili uweze kufanya biashara kihalali Tanzania ni muhimu sana uwe na leseni ya biashara.
Sasa Kuna taarifa Tano lazima uwe nazo ili upewe leseni ya biashara;
1. Aina ya Biashara,
Ni lazima uweke...
Hatuwazungumzii wale wafanyabiashara waliopo angani na helikopta zao, hao ni kwenye ligi ya mbali kabisa. Tunazungumzia kundi kubwa la wafanyabiashara wenye maduka, walioko mtaani, masokoni, n.k...
TUNAUZA NYANYA FRESH KWA JUMLA NA REJA REJA! SHAMBA LIPO KINYEREZI, NA TUNAPATIKANA HAPA HAPA KINYEREZI!
NYANYA MBEGU YA KENYA!
IMARA SANA NA HAZIHARIBIKI KWA HARAKA,
NIPIGIE 0684101707, NYANYA...
Unafanya dili gani linalokupa pesa? Kwa wanaume wapambanaji tu.
Shea dili lolote unalofanya ambalo na sisi tunaweza kufanya tukapata pesa.
Comment yako itasaidia wanaume wengine wanaojitafuta...
salamu wakuu,
Zaidi ya miezi sasa huwa nasikia matangazo ya hii benki ya NBC,
mwenye uzoefu wake atupe, pia ukisha sajili hapo hapo unapata account number na hauitaji kwenda kwenye tawi lao au...
Nawasalimu wote.
Mimi ni kijana mjasiriamali ninaetarajia kufanya biashara ya jumla ya vitu vya dukani(Arusha&Moshi) lakini ningependa kupata mawazo na ushauri namna ya kuagiza vitu hivyo kutokea...
Tigo kupitia huduma yao ya BUSTISHA leo siku ya 3 imetukata wateja wake mara mbili ya kiasi walichotakiwa kurudishiwa na wateja lakini mpaka sasa tunahangaika kuwapigia simu wanachojibi ni majibu...
NYARAKA MUHIMU ZINAHITAJIKA ILI MBAO ZISAFIRISHWE BILA USUMBUFU KWENYE VITUO VYA UKAGUZI NJIANI
1️⃣ Certificates (Vyeti)
✓• Taxpayer Identification Number certificate (TIN) – Cheti cha...
Gharama anazopaswa kuingia mmiliki ni zipi, marejesho yanapaswa kuwa vipi? Changamoto zake ni zipi? Faida zake zinakuwaje hasa "mambo" yakienda vizuri. Matatizo ya kutarajia ni yapi?
Aina nzuri...
🔑 RETURN ON EQUITY (ROE)
👉 ROE ni kipimo kinachoonesha uwezo wa kampuni kutumia mtaji wa wanahisa (shareholders’ equity) kutengeneza faida.
Kwa lugha rahisi, ni kipimo kinachojibu swali: “Kila...
Habarini za leo wanajamii,
Leo nimeona kidogo nitumie fani yangu ya ushauri wa maswala ya biashara na uchumi kuweka mambo muhimu katika uendeshaji wa biashara kwa nchi yetu pendwa ya Tanzania...
Habari wadau,
Wakubwa shikamoni, wengine habari zenu!
Naomba kujua gharama ya kusafirisha tani( 1000kgs) ya mchele kutoka Mbeya kwenda Kampala.
Na pia kama kuna mtu anafanya hii biashara...
Dhahabu ni moja ya biashara kubwa sana Tanzania, hasa maeneo ya Chunya, Geita na Singida. Wengi huona mtaji mkubwa unahitajika, lakini ukweli ni kwamba hata ukiwa na mtaji mdogo kama milioni 2...
Bia zinashuka bei wateja siwaoni; muda huu nipo bar sina wateja kabisa kuna meza niliyokaa mimi na mbili zingine za wateja .. Umeme Maji Mishahara ya wahudumu; TRA ni sheshe; naomba ushairi wa...