Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Habar za cku ya Leo , Kama nilivoeleza apo kuwa nahitaji kufungua mwalo ya kuzalisha udongo wa dhahabu unaotokana na mawe ya dhahabu yaliyo sagwa na kuoshwa ili baadae niweze kuuza huo udongo kwa...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Mfano, Mtu akiwa na duka la mangi, salon, na mgahawa maeneo tofauti, anapokadiriwa kodi yanaangaliwa mauzo katika biashara zote au kila biashara inakadiriwa kodi kivyake?
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Kupata mkopo tawi la Pride hapa Arusha imekuwa ngumu sana.Ukiomba mkopo wanasema hawana pesa.Wako ktk mchakato wa kulipa kodi.Kuna watu wamejitoa baada ya kuona hawapewi mikopo lakini kila wakidai...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Baada ya kauli iliyotolewa na rais JPM wakati akizindua kiwanda cha mafuta huko shinyanga kuwa ataongeza kodi kwenye bidhaa za mafuta zinazoingizwa nchini kutoka nje,bei ya mafuta yanaozalishwa...
2 Reactions
29 Replies
8K Views
Kama kuipata ni tatizo,mimi ninayo,ila ipo katoro,unaitaji kuwa na hela ya kuanzia,ukipenda,ni Pm ntakuelekeza vzr
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Private sector inajiendesha bila kutumia kodi wala kupata ruzuku, ukifilisika umefilisika ndio maana hata wasomi wetu wengi hawapendi kujiajiri wenyewe wako tayari waajiriwe hata kwa ujira mdogo...
1 Reactions
4 Replies
988 Views
Wakuu heshima kwenu, Ninataka kujua hii taasisi ni ya nini na inahusu nini hasa, Jirani yangu alijiunga na mfuko huo bila kuelewa kwa miaka zaidi ya kumi sasa wakawa wanamkata 24000 kwa mwezi...
0 Reactions
3 Replies
5K Views
Habari wadau. Natumaini ni wazima. Naomba kupata ifahamu toka kwenu kwamba ni vigezo gani au biashara gani zinazotakiwa kulipia TFDA kwani tulizoe kwamba wanaolipia hicho kitu ni wale wanaouza...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
1. Kununua Mashine za kukoroga zege na kukodisha. 2. Kununua Mashine za kukata vyuma na kuzikodisha. 3. Kutengeneza na kuuza tofali 4. Ufundi, Website updating/ Database: Katika Halmashauri...
7 Reactions
33 Replies
15K Views
Habari zenu wadau wa jf. Mimi ni kijana umri miaka 25, nipo Dar es salaam. Nimepata wazo la kuanza kusambaza kwa reja reja mitaani maziwa ya ng'ombe ya fresh na mtindi yanayotengenezwa viwandani...
1 Reactions
5 Replies
8K Views
wakuu naomba mnisaidia kwa mara ya kwanza nimeagiza parcels zangu toka china ipi njia bora kati ya dhl na ems ipi mzigo unafika haraka zaidi
1 Reactions
12 Replies
3K Views
Natafuta nyanya ambazo naweza kununua kutoka shambani.
0 Reactions
0 Replies
815 Views
Salaam wadau Katika moja ya idea(project) zangu zilizo kichwani ni biashara ya kukodisha makokoteni, dhumuni kubwa la kutaka kuanzisha hii biashara ni kukuza au kutengeneza mtaji wangu mwenyewe...
5 Reactions
34 Replies
10K Views
Bank za Barclays barani Afrika kubadilishwa jina na sasa kuwa ABSA bank, hii ni baada ya Barclays ya Uingereza kuamua kuachana na biashara ya Africa na kuuza hisa zao nyingi za Barclays Africa.
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Here’s the market outlook for the week: EURUSD Dominant bias: Neutral The market did not do anything significant last week. In fact, the market has generally been choppy since February...
4 Reactions
2 Replies
569 Views
The latest Deloitte African PE Confidence Survey indicates that investors interest in TZ has increased from 52% in 2016 to 67% in 2017. This is good news
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Habar wakuu Wiki 3 zilizopita nimeweza kufungua biashara ya miamala ya pesa (tigo pesa&m pesa) matarajio yangu ni angalau kwa mwez iniingizie si chini ya 50,0000 kwa mwezi Kabla ya kumuweka mtu...
0 Reactions
18 Replies
6K Views
Ukipata pesa leo halafu uka nunua kiwanja, usitafute pesa ya kuanza kujenga, bali tufuta pesa fanya kitu amabacho kitaingiza kipatao kingine kwa ajili ya kujenga kwenye kiwanja hicho, Ni Sawa...
36 Reactions
109 Replies
12K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…