Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Katika watu wakuangaliwa mno ni hawa wafanyabiashara wadogo hususan vijana wanaonunua bidhaa njee ya tz na kuziingiza nchini, nadhani kuna haja ya serikali kupunguza au kuondoa hizo kodi za...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Swala la Location ya Biashara linahitaji hesabu kari sana. Watu wengi sana wanachemka mno hii sehemu. Unakuta mtu ana wazo zuri sana ila location huja kuua lile wazo. Wengi baada ya Kodi ya...
4 Reactions
4 Replies
2K Views
Niko sehemu ambayo siwez fika benk ila nina check hapa,kwenda kuchukua hela nimekwama,nijulishen ndugu lin chek huwa ina expire
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Habari za saa hizi waungwana, Naomba kwa anayejua wapi naweza kupata mkopo wa biashara kwa kutumia dhamana ya kiwanja anielekeze. Asante
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wadau habari! Nimepata deal la kuuza bidhaa nje ya nchi ila moja ya vigezo vyake package lazima iwe na barcode, kwa hapa bongo wapi naweza kuipata? Natanguliza shukrani!
0 Reactions
6 Replies
5K Views
Baada ya BOT kufuta benki 5 na kuona wananchi wanalia nje ya majengo ya benki kuwa akiba zao za fedha zimekwenda na maji, Je ni benki gani nzuri kwa sasa zinafaa kuweka akiba ili kuepusha kasumba...
0 Reactions
22 Replies
10K Views
[emoji683] Unaweza kuwatendea wema watu kwa uwezo wako na kwa nafasi yako lakini wao wakakuchukia vibaya mno cha msingi usitegemee kutendewa wema nao, unaweza kuwapenda watu kwa nafasi zao lakini...
1 Reactions
0 Replies
721 Views
Coach Lazaro Samwel: *#AchaNikufungue@2018* Tip No. 10 " Hakikisha unapokatishwa tamaa haukati tamaa mpaka mkatisha tamaa akate tamaa ya kukukatisha tamaa. Ukishindwa hili funga ndoa na kusonga...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu, Nataka kujua wapi wanaweza kumpa mtu mkopo kwa dhamana ya kuweka vyeti vyake iwe cha O-level, Advance, Chuo au vyote kwa pamoja. Kutokana na hili janga la ajira kutopatikana wasomi wengi...
2 Reactions
52 Replies
9K Views
Nawauliza wadau, kupata mkopo kwa Title Deed yako, lakini unatumia kampuni ya jamaa zako wa karibu... Wenzangu wana kampuni iliyosajiliwa, wanafanya kazi vizuri tu, nataka kuwapa Title Deed yangu...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu, Hivi inakuwaje mtu anakurupuka tu anasema mchele 2500 wakati zamani ilikuwa chini ya hapo kwa hvyo mkuu kafanya mfumuko wa bei uzidi. Mimi nauliza jamani mbona kuna michele tangu hapo...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Wadau nilikuwa shambani siku za karibuni nilikutana na kitu cheusi kinachong'aa lakini sio makaa ya mawe.Ni kizito kina matundu matundu na hakishiki kwenye sumaku.Naombeni wanaoweza kutambua ni...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Hi! Ndugu wana jamvi hili Naomba nitoeni kwenye kashimo haka, hivi ni madini gani Duniani yenye gharama kubwa. Ni madini gani yana bei kubwa yanayopatikana Tanzania Madini aina ya Ruby ni madini...
0 Reactions
46 Replies
45K Views
Je kwa mtazamo wako unalionaje soko la biashara za kimtandao hapa nchini kwetu TANZANIA. Biashara za kimtandao nikimaanisha mifumo kama kupatana, zoomtanzania, jumia, kikuu n.k 1). linakuwa 2)...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Salaam kwenu wana jamvi, Naomba wenye uzoefu na biashara za daladala kwa mikoa ya Dar, Dodoma na Mwanza mtupe uzoefu wenu. Route gani nzuri, gharama za uendeshaji, changamoto katika biashara...
0 Reactions
8 Replies
5K Views
Uwekezaji katika soko la hisa umeongezeka kutoka tsh trln 23 mpaka trln 26,hatua nzuri sana,wale wa kutokwa mapovu serikali ikifanya vizuri karibuni
6 Reactions
20 Replies
2K Views
Kwanini hatutaki kukubali kuwa mzunguko wa pesa mdogo? Je,kwa dini zetu zote 2 kukubali kuwa mzunguko wa pesa ni mdogo ni dhambi? Je,ni kweli pesa zimepungua Kwa wapiga dili?ama pesa zimepungua...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Ni muda mrefu sasa tukiwa wanne ndani ya hit kazi....mtu mmoja tu ndiye anayeshughulika na mambo yote. Wengine wanakaa wakisubiri mambo yakae vizuri bila kuchangia kivyovyote na kusema bado ni...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…