Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Hebu tusaidieni watu wa TRA na ofisi za afya kuwadhibiti wafanya biashara wasio walipa kodi.Utakuta mathalani nimefungua biashara yangu let say ya ka baa.Na nimeamua kuwa mlipa kodi japo makadirio...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Naomba mnieleweshe kuhusu kodi ya ongezeko la thamani (value added tax) na inavyofanya kazi
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Kuna hizo nafasi mbili za juu kabisa ziko wazi nchini. Naona vijana wawili robust ambao they could fit katika yoyote. 1. Nehemia Mchechu 2. Lawrence Mafuru Nawasilisha
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Wakuu salama.. Naomba msaada: ninahitaji kwa anayejua utaratibu wa kubadilisha jina la biashara aweze kunisaidia maana nahitaji kubadili sha jina la biashara yangu. Na je, ipi ni rahisi au bora...
1 Reactions
4 Replies
7K Views
Mwezi August mwaka huu Air Tanzania inatarajia kuanzisha safari za moja kwa moja kuelekea Viwanja vya Entebbe na Bujumbura. Hatimaye Wings of Kilimanjaro a.k.a Twiga anayepaa amerejea angani...
5 Reactions
47 Replies
4K Views
Wadau , Nimepata fremu maeneo ya kariakoo katika eneo ambalo ni la vitu vya electronics. Sasa niko katika utafiti kujua kipi kinafaa Zaidi kwa biashara kati ya vitu vifuatavyo; a. Biashara...
0 Reactions
11 Replies
8K Views
Wadau, Naombeni ushauri wa biashara ya kuchinja ng'ombe na kufungua Butcher Dodoma. Changamoto zake kwa mwenye uzoefu. Ushauri tafadhali
1 Reactions
6 Replies
4K Views
Kijana mdogo ONTARIO aliyejizolea jina kubwa na hata kubadili jina lake na kuwa Mkuu na Chief akiiitwa na watu wa rika mbalimbali wazee kwa vijana. Kijana huyu ameleta sauti za matumaini kubwa...
8 Reactions
203 Replies
36K Views
Nina line mbili za M-Pesa (ya wakala na second) zote pin ziko blocked, bad enough nilinunua tu kwa mtu 3yrs ago. Kwa hiyo haziko kwa majina yangu. Naombeni msaada kwa mwenye maarifa namna ya...
0 Reactions
4 Replies
7K Views
Jamani nataka kuwa mjasiriamali? Na nataka nianzishe biashara yangu kwa mtaji mdogo sana,je una niashauri nini kwenye biashara hiyo ambayo nataka niifanya ingawa bado sijaifikilia biashara gani...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wakuu hivi NMB wanapokutumia SMS kwamba karibu upate Mkopo wenye riba nafuu kwa kukitaja jina kabisa,wanakuwa wanapata wapi taarifa zako? Je wako serious watakupa mkopo? Je wametumia kigezo gani...
1 Reactions
7 Replies
3K Views
Kilio cha watu wengi kukosa ajira kilipokuwa kikubwa tuliambiwa tukajiajiri,mzee nikasema isiwe shida ngoja nijiajiri yawezekana huko ndiko utajiri ulipojificha. Nikawaza nifanye nini,nikakumbuka...
17 Reactions
65 Replies
6K Views
Habari wana JF, natumai muwazima afya, Moja kwa moja kwenye mada, kama kichwa cha habari kilivojieleza hapo juu, Nimepata matatizo huko nyumbani shida yangu nilikua naomba wasamaria wema wa JF...
2 Reactions
40 Replies
4K Views
Tanzania imeorodheshwa kuwa miongoni mwa mataifa ambayo uchumi wake utakua kwa kasi zaidi kufikia mwaka 2026. Kituo cha Kimataifa cha Maendeleo cha Chuo Kikuu cha Havard cha Marekani kinakadiria...
0 Reactions
0 Replies
738 Views
Naomba niwe muwazi. Mimi ni mmoja kati ya watu wanaotumia huduma za kifenda za hii mitandao ya simu. Naomba kuwapongeza tigo kwakua wako poa na hawajawahi kunisumbua. Tatizo ni kwa hawa mpesa...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Makala Ndani ya RAIA MWEMA: "Ndimi mbili za Zitto na kisa cha mkata kuti alilokalia" Makala Ndani ya RAIA MWEMA: "Ndimi mbili za Zitto na kisa cha mkata kuti alilokalia"
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Kuna binti mmoja kutoka Tanga alipata mchumba, ni kijana anaeishi Dar. Mchumba akimuomba sense likizo mwezini mmoja ili wafahamiane vizuri kabla ya harusi. Yule binti amefika kwa mchumba aliona...
5 Reactions
10 Replies
1K Views
*MTIHANI WA UELEWA WA ELIMU YA FEDHA* kabla sijaanza kufundisha juu ya elimu ya fedha naomba kutoa mtihani huu wa kifedha, lengo la mtihani huu Ni kujitambua wewe mwenyewe juu ya uelewa wako wa...
2 Reactions
1 Replies
2K Views
Poleni na shughuli wakuu, ninaona fursa kabisa iko wazi hapa kwenye biashara ya juice hasa kwa sisi ambao tupo mkoani. Kwa sisi ambao bado hatujaingia rasmi kwenye hiyo biashara ni vyema tungepata...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…