Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Uongozi wa juu katika kampuni (executive leadership) ni dira katika kuhakikisha kampuni inafikia malengo yake (corporate objectives). Uono wa kimkakati (strategic vision) ni ufafanuzi juu ya wapi...
8 Reactions
14 Replies
4K Views
Habarini wadau. Nahitaji mkopo kukuzia biashara. Ninaishi kwangu, nina saluni ya kike yenye draya mbili mpya, kioo kikubwa cha saluni, na kabati kubwa LA kioo. Kwa aliye tayari kunikopesha kwa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
MeTL to Start Tanzanian Bank After Abandoning Barclays Plans Tanzania’s MeTL Group, one of the country’s largest privately owned diversified manufacturing companies, plans to open a commercial...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Kwanza ukikutana nae hivyo anavyojua kuilaumu serikali ya awamu ya tano, we acha tu! Atalalamikia mauzo hakuna, atalakamika wateja wamepungua, atalalamikia kodi, atalalamika miundombinu yaani...
3 Reactions
8 Replies
1K Views
Wasalaam! Kwa yeyote mwenye ufahamu kuhusu usalama wa idea ya kibiashara ambayo sijaisajil rasmi kua property yangu kwenye mamlaka husika, naomba anisaidie kunihakikishie usalama in percentage...
0 Reactions
36 Replies
4K Views
Kuna mdau mmoja kanidokeza na kulalamikia maisha ya mtwara kuwa yapo juu hasa upande wa vyakula tofauti na sehemu yoyote tz. Wenyeji haya ni ya kweli, kwa jicho la ujasiriamali nahisi kuna fursa.
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Ni takriban miaka 10 sasa huduma hii ilikuwa imesimama, ila kwa sasa imerejea kwa kasi, maelezo yote yapo kwenye video yao ya TRC reli TV
2 Reactions
12 Replies
7K Views
Habari za jioni wapendwa, Mimi niko Shinyanga nataka kuanza kuuza madaftari, kalamu na ream papers kwa jumla nataka kuagiza mzigo moja kwa moja toka viwandani lakini sijui hivi viwanda vipo wapi...
1 Reactions
10 Replies
10K Views
Wakuu, habari za muda huu... Naomba kuelekezwa sehemu yeyote Dar es Salaam ninayoweza kupata mafunzo ya kutengeneza sandals za kimasai. Ikiwa maeneo ya Kimara na Mbezi ya kimara nitafurahi zaidi
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Tafadhali rejea hapo juu nataka kukopa kama milioni 10 nimalizie NYUMBA niliyoianza kuijenga mwaka Jana Kwa mkopo mwingine kwa sasa nikipata hiyo m10 nitamaliza bati NA MADIRISHA
0 Reactions
30 Replies
8K Views
Sa hivi ukitaka kwenda bukoba Kwa ndege book week kabla maana abiria wamekuwa wengi kuliko kiasi mpaka atcl wameongeza safari
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Salaam wana jukwaa Naomba mnijuze/kushauri je kwa utawala huu wa Magufuli ni biashara gani ukiifanya inaweza kukulipa hata kama sio kwa faida kubwa lakini mzunguko wa bidhaa unakua nzuri Hasa...
0 Reactions
20 Replies
8K Views
My take: Hapa porojo ya ccm haitoweza, despite Dar es Saalam's passing of law that criminalises questioning of statistics where the government truth is considered absolute; a seriously matoke...
3 Reactions
4 Replies
2K Views
Kaimu Mkurugenzi wa Ulaya na Marekani kutoka Wizara ya Mambo ya nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Ndugu Jestas Nyamanga amesema Mwekezaji kutoka Ubelgiji atafungua Kiwanda cha cha kubangua...
12 Reactions
63 Replies
7K Views
Members naomba kujua au kutathimini mwenendo wa bei ya hisa hizo za CRDB kwa angalau miezi 6 ijayo ili tuweze kufanya maamuzi sahihi mapema tafadhali...
2 Reactions
19 Replies
7K Views
Aiseeeeee yani kila sehemu nowadays wanunuzi wanatongozwa kwa maneno matamu ili waandikiwe risiti ya bei tofauti na waliyonunulia inakera sana serikali yangu elekezeni nguvu kubwa kariakoo. Mara...
1 Reactions
62 Replies
5K Views
Ninajiandaa kufanya mradi wa kuku wa kienyeji/chotara kibiashara.... Nipo moshi..... Nataman kujua juu ya masoko na usafirishaji, kwa mwenye zoefu/kujua naomba masaada....... Plz.. Pia Naomba...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Cashew prices have jumped after John Magufuli, Tanzania’s president, ordered the army to buy the country’s entire 2018 cashew nut harvest. The African nation is the seventh-largest producer of...
1 Reactions
1 Replies
930 Views
Wapendwa wana jf kwanza nawasalimu,na baada ya salamu kunakitu sijakielewa kabisa,kuhusu mwendelezo wa hizi biashara,hapa Tabora naona milango mingi ya biashara imefungwa,meza za sokoni nyingi...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Back
Top Bottom