Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

On JF:

Habar wakuuu, mwenye kufaham sehem wana deal na kuweka lable kwenye zile braclate za mkononi kwa mkoa wa arusha, anipe direction. Ahsante
0 Reactions
2 Replies
688 Views
Hello guys kwema. Naamin mpo sawa sawa Naomba kwa mfanyabiashara/ mjasiriamali anaeuza kuku wa kienyeji pure na kuku wa kisasa broila tafadhali naomba tuwasiliane tufanye biashara...kwa Dar es...
0 Reactions
15 Replies
4K Views
Listed below is detailed summary of the procedures, time and costs to build a warehouse -including obtaining necessary licenses and permits, completing required notifications and inspections and...
1 Reactions
12 Replies
14K Views
Dear SUA Graduate business owners, I hope this message finds you well. I am a founder of what we call Sokoine University Graduate Entrepreneurs Cooperative Society LTD (SUGECO). This...
2 Reactions
10 Replies
5K Views
salaaam ndugu zangu great thinkers nataman kuanza biashara tajwa hapo juu, naomba msaada wenu kujua je inahitaji kias gan cha mtaji kuanzisha biashara hiyo?????? nawasilisha natumai kupata msaada
0 Reactions
2 Replies
7K Views
Yaani utajaza mifomu utaanza zungushwaaa utafikiri unapewa bure, Mara kuna waraka Wa mkurugenzi Wa huduma unaelekeza ivi Mara ivi , wakati Wa chaz ilikuwa fasta
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Kwanza nianze kwa kumpongeza Mh Raisi kwa utendaji wake wa kazi . Naomba niseme nimefurahi sana kuona Mh Raisi kafanya ziara Mkoa wa mbeya ambapo kwa mujibu wa report itakuwa ni ya muda wa siku 8...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Salaam wakuu..! Nahitaji kufahamu kisima cha maji baridi (yaani maji yasiyokuwa na chumvi) huwa kinapatikanaje..? Je,inategemea na eneo lako..? Au ni jinsi/namna ya uchimbaji tu..? Wataalamu wa...
1 Reactions
41 Replies
9K Views
Salaam................... Natumai mu wazima wa afya na mnaendelea na mishe mishe za kusaka mpunga kila penye fursa za kuikamata mbesa, dhumuni kubwa la uzi huu ni kutaka kufahamu fursa za...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari zenu Kuna mkahawa nimefungua ila Nina tatizo na marafiki wanaokaa nje viti vya customers Ntawafukuzaje
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Wakuu Nataka kusajili tovuti hivi karibuni.Ni hatua gani za kufuata ktk usajili wa tovuti?
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Kama unamiliki biashara hakikisha customer care never die. Tuache tabia kwamba ukishapata Loyal customers basi unarelax kwamba watakuja tuu. Always remember to add value to your product and...
3 Reactions
8 Replies
2K Views
Hivi ni kwa nini wasomi wenye background ya sayansi na engineering ndio wanaofanikiwa sana kibiashara? Angalia mataifa ya magharibi lakini pia hata africa na tanzania specifically , wasomi wengi...
0 Reactions
30 Replies
5K Views
Ndege ya Shirika la Ndege la Air Tanzania (ATCL) Boeing 787-8 Dreamlinner inatarajia kuanza safari zake za nje ya nchi ifikapo Julai mwaka huu. Hayo yamesemwa jijini Dar es salaam na Mkuu wa...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Wakuu habari Hii kitu imenitokea juzi juzi nilikuwa na kimgahawa changu kidogo tu ila kilikuwa kinalisha watu wengi sana na ilhali mazingira hayakuwa rafiki kiafya na kifupi haikuwa sehemu yenye...
5 Reactions
52 Replies
6K Views
Mkuu wa wilaya ya Iringa mjini Richard Kasesela amesema ni kosa la Uhujumu Uchumi kwa mtu yeyote mwenye mtaji unaozidi shilingi milioni 4 kutumia Kitambulisho cha mjasiriamali. Kasesela amesema...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Hongereni wana jamvi kwa kupata neema ya kuamka hii Leo. Nimekua muuzaji wa Simu used kwa muda kidogo ambazo nlikua nanunua kwa watumiaji wa hapahapa nchini ila nikapata wazo la kupata Simu toka...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Habar za jion ndugu zangu nilikua na wazo la kuanzisha biashara ya kuleta na organise wageni kuja kutembea na kufanya utalii ndani ya nchi (tour company) nilikua naomba muongozo wa kutengeneza...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Husika na mada tajwa hapo juu, mwenye ufahamu juu ya biashara hii anijuzee, Ufafanuzi ktk Mtaji.. Gharama za vibari.. Gharama ya mashine Faida Na process za kibenk kwa ujumla Karibun..
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Huyu tajiri niliwaambia anajua Sana ubunifu.amekuja na Azam ukwaju kaajiri watu wengi Safi sana anaangalia fursa anaifanya kwa Hali.ana bidhaa nyingi huwezi kumfananisha na matajiri wengine .Azam...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…